Taharuki Hoteli ya Lark, Wafanyakazi Wafungiwa nje
-
Na Mwandishi Wetu
WAFANYAKAZI 20 wa hoteli ya Lark iliyopo ndani ya jengo la Noble Centre Dar
es Salaam, linalomolokiwa na CRJE wamezuiwa kuingia ndani ya...
Muigizaji na muimbaji kutoka Tanzania HEMEDY SULEIMAN (PHD) yuko kwenye Tusker project Fame (Tusker all stars) kwasasa... ili aweze kushinda anahitaji sana kura yako Mtanzania, piga kura yako sasa.. Hapo akiwa na Desmond Elliot kutoka Nigeria
Ili kumpigia kura Hemedy andika TUSKER 3 kwenda namba 15324
jamani watu wanachekesha hapo ndo kashampigia kura lkn pia zama ulikosea kutuambia tunapiga kura kupitia nini! unaona sasa mwenzetu ndo kashapiga kura hivyo !
SAMAHANI ZAMARADI NAONA HUKUWEKA COMMENT KWA SOLO THANG. SASA MIMI NILIKUWA NA SWALI KUHUSIANA NA SOLO NI KUTAKA KUJUA MKEWE NI RAIA WA NCHI GANI? WAKO JAMES
3 comments:
TUSKER 3 NAMBA 15324
jamani watu wanachekesha hapo ndo kashampigia kura lkn pia zama ulikosea kutuambia tunapiga kura kupitia nini! unaona sasa mwenzetu ndo kashapiga kura hivyo !
SAMAHANI ZAMARADI NAONA HUKUWEKA COMMENT KWA SOLO THANG. SASA MIMI NILIKUWA NA SWALI KUHUSIANA NA SOLO NI KUTAKA KUJUA MKEWE NI RAIA WA NCHI GANI?
WAKO
JAMES
Post a Comment