tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post2486781242705920399..comments2023-12-17T19:09:00.978+03:00Comments on ZAMARADI: MAMBO YA MISS DAR INDIAN OCEAN..Zamaradihttp://www.blogger.com/profile/02933249568135217479noreply@blogger.comBlogger12125tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-49649528196480574962010-07-04T16:04:25.725+03:002010-07-04T16:04:25.725+03:00zamaradi ni flower. na flower ni kuchanua. na kuch...zamaradi ni flower. na flower ni kuchanua. na kuchanua si kwa siri, ni wazi wazi. acheni...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-27712569919187923862010-06-19T11:19:12.072+03:002010-06-19T11:19:12.072+03:00kwani hao aliowaweka sio wasanii? hapo hapo ndipo ...kwani hao aliowaweka sio wasanii? hapo hapo ndipo alipotokea Wema sepetu mnaemuita best actres, Irene uwoya nae katokea huku huku... kuna tatizo gani akikatisha katika tasnia ya ulimbwende? watanzania mbona hamna shukurani? au ni kosa yeye kuonekana? na blog ni yake so nilazima aweke picha zaka.. asipoweka hapa ataweza wapi? someni kwa kutizama bila ya kupiga kelele maana sometimes kelele zinakufanya ushindwe kuelewa unachokisoma!! do ur think Zamaradi...Martin Kadindahttps://www.blogger.com/profile/03662307661476524556noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-53079091805404966082010-06-18T10:47:43.831+03:002010-06-18T10:47:43.831+03:00DAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH i cant bELIVE IRENE ...DAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH i cant bELIVE IRENE KIWIA AMEZEEEEEEEEEEEEKA kiasi HIKI, DAH WATANZANIA TUNA KAZI YA ZIADA KUJIMAINTAIN, anaonekana mzee kuliko WHITNEY HUSTON WAKATI NI KIDOGO SANA Kiumri kwa WHITNEYAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-73380155142241316132010-06-14T11:12:02.986+03:002010-06-14T11:12:02.986+03:00Mmemsakama habari za wasanii habari za wasanii, hi...Mmemsakama habari za wasanii habari za wasanii, hizo zilizopo ni nini???? kila siku habari mnatoa wapi? wenginne tukimuona tu tunaburudika nyie mnaotaka habari tafuteni mablog mengine msituzingue hapo.Zamaradi kumbe kayanda ndio huyo? watu wa clouds bwana unaweza ukahisi wakubwaa kumbe vidogodogo tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-66726281346865311652010-06-14T11:08:26.821+03:002010-06-14T11:08:26.821+03:00Jamani hata akiuza sura blog si yake!!!!! na nyie ...Jamani hata akiuza sura blog si yake!!!!! na nyie fungueni zenu.. Sura yake inauzika mwache auzeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-5345441576568147992010-06-14T09:55:08.159+03:002010-06-14T09:55:08.159+03:00Mie namshangaa aliuliza kwa vishindo mpaka leo haj...Mie namshangaa aliuliza kwa vishindo mpaka leo hajaleta habari hata ya msanii mmoja...nahisi yupo hapa kuuza sura hana lolote...IKIWEZEKANA TUNATAKA UMUULIZE KINYAINYA KAMA ANA MKE WA NDOA TUNATAKA KUJUA FANCY WAKE...KAMA ANA MKE JE MKEWE NI NANI? TUWEKEE PICHA ZAKE ZA HARUSI..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-22555047212597891622010-06-14T09:55:08.160+03:002010-06-14T09:55:08.160+03:00Mie namshangaa aliuliza kwa vishindo mpaka leo haj...Mie namshangaa aliuliza kwa vishindo mpaka leo hajaleta habari hata ya msanii mmoja...nahisi yupo hapa kuuza sura hana lolote...IKIWEZEKANA TUNATAKA UMUULIZE KINYAINYA KAMA ANA MKE WA NDOA TUNATAKA KUJUA FANCY WAKE...KAMA ANA MKE JE MKEWE NI NANI? TUWEKEE PICHA ZAKE ZA HARUSI..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-50426894742313069702010-06-12T13:02:28.828+03:002010-06-12T13:02:28.828+03:00Zama umeanza nawe mambo ya make up zisizo match na...Zama umeanza nawe mambo ya make up zisizo match na rangi yako?na kujichubua jamani aggg acha kabisa!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-14065324347943343272010-06-12T09:44:44.565+03:002010-06-12T09:44:44.565+03:00Toka ulivyopromiss kutoa habari za wasanii 2liotak...Toka ulivyopromiss kutoa habari za wasanii 2liotaka maelezo yao hujafanya hivyo leo kimbelembele kisa ulikwenda miss dar Indian ,blog inakushinda ulidhan ni sehemu ya kuuzia sura tunahitaji update every day .Shwain..hat usipoipublish msg deriveredAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-40981088428363005552010-06-12T09:42:24.038+03:002010-06-12T09:42:24.038+03:00toka ulivyoambiwa unaoendeza na hako ka wigi sijui...toka ulivyoambiwa unaoendeza na hako ka wigi sijui weaving kila pati upo nako kanakufanya unaonekana mzee.Kifupi ujatoka na huyo Jocate pozi za kulazimisha tumezichoka.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-52486552871096481742010-06-12T05:50:52.495+03:002010-06-12T05:50:52.495+03:00Wewe mdada kwa kupendeza! Sawa bana, tutaendelea k...Wewe mdada kwa kupendeza! Sawa bana, tutaendelea kufaidi na kujifunza from u<br />Tunakupenda ZamAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-85391960053520879722010-06-11T20:17:33.751+03:002010-06-11T20:17:33.751+03:00Naomba kuuliza nini maana kuweka vidole viwili juu...Naomba kuuliza nini maana kuweka vidole viwili juu (Alama ya V)wakati wa kupiga picha?<br /><br />MdauAnonymousnoreply@blogger.com