tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post2908322991816476169..comments2023-12-17T19:09:00.978+03:00Comments on ZAMARADI: ILIVYOKUWA KWENYE PARTY YA KUMPONGEZA TWENTY PERCENT (20%)Zamaradihttp://www.blogger.com/profile/02933249568135217479noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-41522291320555476372011-04-02T10:04:02.890+03:002011-04-02T10:04:02.890+03:0020 hizo pamba zako tu mie hoi,hata hazieleweki,jik...20 hizo pamba zako tu mie hoi,hata hazieleweki,jikoki bwana unoke chicha.
Ukijifanya uko simple sana saa nyingine inaboa bwana,mie napenda mziki wako ila sipendi jinsi unavyovaa.jitahidi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-54616576723137876452011-04-01T14:07:33.086+03:002011-04-01T14:07:33.086+03:00Hongera zako 20,mwaka 2011 utokeze tena na ikiweze...Hongera zako 20,mwaka 2011 utokeze tena na ikiwezekana upate tunzo kama mwaka jana.
All da best kakaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-49602882647797504242011-04-01T14:05:46.231+03:002011-04-01T14:05:46.231+03:00Hongera bwana mdogo 20% usibweteke kazi buti mwaya...Hongera bwana mdogo 20% usibweteke kazi buti mwaya,mie nilikuwa napenda nyombo zako ila nilikuwa sio mshabiki wako kiviiiile ila pale tu nilipotanzama ile move yako ndo nikafall kwako totally n completelly na kusema kweli nilikuvotea sana tu na ucku ule wa tunzo tulipokuwa tunackia jina lako full kushangilia,na ww bwana kuonyesha kama huna tamaa hata
kidogo haukutia maguu.
Ila naye ajitahidi kuvaa coz hizo pamba zako lol sisemi wife mfanya mumeo awe smart bwana nini maana ya kuwa na mke kila cku namuona yuko raugh tu.
All da best kakamiddynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-24145373434899243482011-03-31T19:00:33.644+03:002011-03-31T19:00:33.644+03:00mm nampongeza kwa kweli uyo kaka napenda miziki ya...mm nampongeza kwa kweli uyo kaka napenda miziki yake sana kwa kweli nampa big upAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-92139022086166398062011-03-31T16:57:30.475+03:002011-03-31T16:57:30.475+03:00jamani namkubali sana 20% yuko fit kwa utunzi na k...jamani namkubali sana 20% yuko fit kwa utunzi na kuimba! ila ananiboa kitu kimoja hajui kuvaa kwa kweli sasa hizo ndevu si akashevu au nazo ni swaga?mweleze bwana Zama mwambie fans wake tunasema awe smart na unga aache anaonekana kachakaa sana.afterall napenda sana nyimbo zake.hopefuly utamfikishia ujumbe wanguAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-19231558884999613802011-03-31T10:49:23.459+03:002011-03-31T10:49:23.459+03:00Nampongeza sana 20% na tuzo alizopata asibweteke a...Nampongeza sana 20% na tuzo alizopata asibweteke atoe vitu vingine vikali sana..........
Huyu 20% nasikia anabwia unga sasa hivi maana naona bangi kaona haifai sasa sijui anaelekea wapi?Ona alivyoisha anazidi kuwa mbaya jamani hawa wasanii wa bongo vipi? Igeni wenzenu Kenya, na Uganda wanajitunza sana.
Nasikia kuna kundi kubwa la wasanii wa bongo flavour wanabwia.......
Vinginevyo anafanya vizuri sana
JirekebisheniAnonymousnoreply@blogger.com