tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post2936223886378168014..comments2023-12-17T19:09:00.978+03:00Comments on ZAMARADI: ORIGINAL COMEDY - MANABII WANAOKUBALIKA KWAO!!!!Zamaradihttp://www.blogger.com/profile/02933249568135217479noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-28640157788637314492011-02-03T18:10:12.976+03:002011-02-03T18:10:12.976+03:00Zama asante kwa kutuletea our favorite group katik...Zama asante kwa kutuletea our favorite group katika blog yako hii. Tunawapenda sana the original comedy. Edson na Jenny.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-89983641098857932632011-02-03T18:07:42.008+03:002011-02-03T18:07:42.008+03:00Hata mimi nawakubali 100%. Niwaulize swali moja tu...Hata mimi nawakubali 100%. Niwaulize swali moja tu : Je ideas na vichekesho wanavyoviigiza vinaandikwa/kutayarishwa na wao tu au kuna watu ambao wanawasaidia katika ubunifu (kama vile huko USA)? Nauliza hivyo kwa kuwa hawa jamaa kila siku wanatoa vunja-mbavu mpya.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-28036516403926791622011-01-29T14:48:39.647+03:002011-01-29T14:48:39.647+03:00Kati ya watu wachache ambao nilidhani ze commedy c...Kati ya watu wachache ambao nilidhani ze commedy chali mmi kwani mwishoni mwa december kama vile nilidhani ndo wanapotea kumbe dah!!!!!!!!!!!!!!jamaa wako fire mbaya, nawahurumia sana wale wenzeo wa eastv sijui hata wanacho kifanya nni kule!!!!!!!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-84466995438650234312011-01-28T14:50:38.232+03:002011-01-28T14:50:38.232+03:00yea ni kweli sister,lkn naona 1 wao amemiss hapo,J...yea ni kweli sister,lkn naona 1 wao amemiss hapo,Joseph shamba au jina la kazi vengu..yukowa pi huyo mtu?<br />Nawakubali sana hawa Original Comedy...Big upAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-87207726211563370612011-01-28T12:33:52.982+03:002011-01-28T12:33:52.982+03:00Tuko wengi ambao ni mashabiki wao lakini naona pia...Tuko wengi ambao ni mashabiki wao lakini naona pia waweke mkazo kwenye production ya dvd's ili wapenzi wao twende na wakati na kazi wanayoitoa. Big up lads. Edi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-77104666058267562502011-01-28T12:31:24.980+03:002011-01-28T12:31:24.980+03:00Wanakubalika kwao kwa ubunifu wao halisi. Ule msem...Wanakubalika kwao kwa ubunifu wao halisi. Ule msemo mcheza kwao hutuzwa unanikumbusha hawa OC. Tuko pamoja wazee......Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-33230717203046742692011-01-28T12:29:04.652+03:002011-01-28T12:29:04.652+03:00Yap! hata mimi ni mshabiki wao namba moja. Nisipow...Yap! hata mimi ni mshabiki wao namba moja. Nisipowaona au kuwasikia kwa zaid ya miezi miwili naona kuwa kuna kitu nimeki-miss. Mimi Original Comedy addict.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-26038376585256836802011-01-28T12:26:49.069+03:002011-01-28T12:26:49.069+03:00Hawa jamaa wamejaliwa kipaji na wanijua fani yao v...Hawa jamaa wamejaliwa kipaji na wanijua fani yao vyema kabisa. Big up guys and keep it up. We love you!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-42089040225929634272011-01-28T00:20:23.947+03:002011-01-28T00:20:23.947+03:00jamani mimi naomba website ya hawa orijino comedy ...jamani mimi naomba website ya hawa orijino comedy ni hayo tuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-4505007210513344282011-01-27T23:03:36.109+03:002011-01-27T23:03:36.109+03:00ni kwelii zama yan hao wametisha ile yenyeweni kwelii zama yan hao wametisha ile yenyeweAnonymousnoreply@blogger.com