tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post3539438570268423385..comments2023-12-17T19:09:00.978+03:00Comments on ZAMARADI: ILIKUWA NI SIKU, SAA, MWEZI na HATIMAE umetimia MWAKA TANGU UTUTOKE.. NIMEKUKUMBUKA SANA BABA..Zamaradihttp://www.blogger.com/profile/02933249568135217479noreply@blogger.comBlogger19125tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-21796593219282373732011-04-27T17:09:45.122+03:002011-04-27T17:09:45.122+03:00hey zamaradi...pole sana kipenzi kazi ya MUNGU hai...hey zamaradi...pole sana kipenzi kazi ya MUNGU haina makosa..annettenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-86307382499402997202011-04-13T12:07:42.627+03:002011-04-13T12:07:42.627+03:00POLE ZAMARADI MWENYEZI MUNGU HUFANYA KILA JAMBO KW...POLE ZAMARADI MWENYEZI MUNGU HUFANYA KILA JAMBO KWA MAKUSUDI YAKE HIVYO TUNAPASWA KUSHUKURU KWA KILA JAMBO.
POST HII INASIKITISHA SANA UMENIFANYA NITOE MACHOZI KWANI NAMI BABA YANGU ALIKUFA MWAKA JANA MWEZI WA SITA NA ALIKUA NI ZAIDI YA BABA KWANGU.TUWAOMBEE TU MPZ.
REST IN PEACE MR. MKETEMAMAJOYnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-22900407347884318542011-04-06T12:32:05.445+03:002011-04-06T12:32:05.445+03:00ASANTENI SANA WOTE KWA CONCERN YENU.. NAWSHUKURU S...ASANTENI SANA WOTE KWA CONCERN YENU.. NAWSHUKURU SANA SANA NA TUKO PAMOJA SANA.. naamini bila nyinyi hakuna mimi.. SHUKRANI SANA KWA WOTE.. nimefarijika sana..
Tuko pamoja!!!Zamaradihttps://www.blogger.com/profile/02933249568135217479noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-21721828103366576122011-04-05T17:19:41.312+03:002011-04-05T17:19:41.312+03:00pole sana zamaradi.....mungu amlaze mahali pema ...pole sana zamaradi.....mungu amlaze mahali pema peponimsakinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-83015230563509891242011-04-05T14:09:57.770+03:002011-04-05T14:09:57.770+03:00Dah!!!!!! pole sana dada, message yako imenkumbush...Dah!!!!!! pole sana dada, message yako imenkumbusha mbali sana, nimemkumbuka baba yangu mzazi, machozi yamenitoka, i think alikuwa as ur dad, am still proud of him and am praying always.
REST IN PEACE, AMENAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-81476240047325459142011-04-05T12:38:24.276+03:002011-04-05T12:38:24.276+03:00hakika inauma saaana. sms yako imenigusa kwa upand...hakika inauma saaana. sms yako imenigusa kwa upande wa maisha yangu umeniacha nalia peke yangu kwa kumkumbuka baba yangu pia. all in all
MUNGU AWAREHEMU MILELE AMINA.mwantum kipwassanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-42700143970074798722011-04-05T11:55:03.563+03:002011-04-05T11:55:03.563+03:00REST IN PEACE DADREST IN PEACE DADAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-60792190180075967542011-04-05T11:45:28.952+03:002011-04-05T11:45:28.952+03:00ZAMA POLE SANA MPENZI MUNGU NA AKUWEZESHE KUFANYA ...ZAMA POLE SANA MPENZI MUNGU NA AKUWEZESHE KUFANYA KAMA AMBAVYO BABA ALIKUELEA HIVYO USIMWANGUSHE HATA KIDOGO MAANA KWA KUFANYA HIVYO UTAMUENZI BABA YAKO. NI VIGUMU KUSAHAU LAKINI MUNGU SIKU ZOTE NDIYE MFARIJI WETU NA NDIYE BABA YETU WA KARIBU. MUNGU NA AKUWEZESHE NA KUKUTIA NGUVU.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-45370418759702123032011-04-05T08:09:58.408+03:002011-04-05T08:09:58.408+03:00Tumuombe mungu amemfisha hali akiwa muislam na amf...Tumuombe mungu amemfisha hali akiwa muislam na amfufue hali akiwa muislam,na Inshaalah ampeleke kwenye Pepo yake ya firdaus.
AMEEN YA RABBIL ALAMINAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-73055308887788214922011-04-05T01:20:15.245+03:002011-04-05T01:20:15.245+03:00POLE DADA 'ANGU ITAFIKIA UTAZOEA KILA KITU.NAM...POLE DADA 'ANGU ITAFIKIA UTAZOEA KILA KITU.NAMI ILINISUMBUA SANA MWANZONI LKN NAMSHUKURU MUNGU SASA IMENIONDOLEA KHALI HIYO.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-14321666115616236442011-04-04T20:15:08.042+03:002011-04-04T20:15:08.042+03:00its so touching n u reminded me wen i lost my fath...its so touching n u reminded me wen i lost my father in 1997,til today i cnt believe that h is gone but u know i be;live where yo father is,h is so proud of u zamaradi n always make him proud n pray for himAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-59142027258022647192011-04-04T19:54:40.345+03:002011-04-04T19:54:40.345+03:00Kufiwa na baba au mama hakuna hata siku mija uamke...Kufiwa na baba au mama hakuna hata siku mija uamke pasipo kukumbuka hivo nakupa pole nna miaka 7 toka nipoteze baba na miezi 5 toka nipoteze mama na kila siku nawakumbika as if ilitokea jana.
Kusema unaomba Mungu apunguze azabu ya kaburi shoga utasugua mswala mpk kiama haiwezekani hata kdg kila mmoja atavuna alichokipanda cha msingi ni kumshukuru Mungu tu.Ni vile watu hawajua maombi na sala haziwezifuta zambi za m2 kamwe if they are kungekuwa hakuna jehanam mana kila m2 angeenda kwa munguAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-24432776248042481612011-04-04T17:47:51.669+03:002011-04-04T17:47:51.669+03:00pole sana zamaradi maneno uliyoandika hakika yanac...pole sana zamaradi maneno uliyoandika hakika yanachoma moyo nakutia uchungu lakini yoote nikazi ya mungu haina makosa sote ndiyo njia yetu nikujipa moyo tu nakuzidi kumwombea baba yako kwani hauko naye kimwili lakini kiroho uko naye pole sana dada mungu akutie nguvu maana ni vigumu kusahau.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-11261270670693950802011-04-04T17:46:37.331+03:002011-04-04T17:46:37.331+03:00Pole zama we all belong there,Tuswali na tumwomea ...Pole zama we all belong there,Tuswali na tumwomea dua,na ww pia fanya starehe zote lakini tenga muda wako uswali kabla hujaswaliwa.
Kweli Baba yako Alikuwa anakupenda coz nakumbuka tulipokuwa Kunduchi Girls Alikuwa anakuja kukutembelea mara kwa mara alafu masikni umri kidogo ulikuwa umeenda lkn he was alwayz there na kunduchi kulivyokuwa mbali lakini bado alikuwa anakutembelea.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-50318655879609881772011-04-04T17:16:05.545+03:002011-04-04T17:16:05.545+03:00Zama honest nimesoma hiyo text machozi yamenitoka ...Zama honest nimesoma hiyo text machozi yamenitoka coz nimempoteza baba yangu pia miaka kadhaa iliyopita,so kilichobaki tuwaombee dua mungu awaepushe na adhabu ya kabri.middynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-51027543682826596152011-04-04T17:13:15.969+03:002011-04-04T17:13:15.969+03:00pole sana Zama yote ni mipango ya Mungu ni ngumu ...pole sana Zama yote ni mipango ya Mungu ni ngumu sana pale tunapowapoteza watu wa karibu yetu,tena haswaa wale tuwapendao.
Mie mwenyewe nilimpoteza Baba yangu kipenzi miaka mitano iliyopita so i knw exactly wat ur going through.
Kilichobaki ni kuwaombea Dua,M/Mungu awaepushe na adhabu ya kabri inshaallah.
Sisi ni wake na Hakika kwake tutarejea.
Kila nafsi itaonja Umauti,wao mbele sisi nyuma yao.Mwanaid Rajabnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-46876173796671109722011-04-04T15:45:18.929+03:002011-04-04T15:45:18.929+03:00POLE MWAYA NDIO MAISHA, YN MZEE MKETEMA ALIKUWA MC...POLE MWAYA NDIO MAISHA, YN MZEE MKETEMA ALIKUWA MCHESHI SANA, NAKUMBUKA ALIPOKUA AKIJA PALE SHULENI KUNDUCHI, ALIKUA HABAGUI YULE MZEE ENZI ZILE MAJI YA PAKTI YA UHAI ALIKUA AKIJA NA FUKO TELE, MUNGU AMPUMZISHE SALAMArukia mezanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-71092615684801496132011-04-04T14:48:53.854+03:002011-04-04T14:48:53.854+03:00pole sn zama, ni ngumu kusahau, kikubwa tunatakiwa...pole sn zama, ni ngumu kusahau, kikubwa tunatakiwa kumwombea dua mzee wetu, pole sn mpz... mwenyezi mungu amweke mahala pemazuwenanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-20637327828813573142011-04-04T13:59:00.361+03:002011-04-04T13:59:00.361+03:00RIP BABA.RIP BABA.Anonymousnoreply@blogger.com