tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post3872891347414164112..comments2023-12-17T19:09:00.978+03:00Comments on ZAMARADI: HEBU MUANGALIENI HUYU MTOTO JAMANI.. MNAMUELEWA!!???? LOL....Zamaradihttp://www.blogger.com/profile/02933249568135217479noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-14299209691836566762011-07-07T21:54:46.981+03:002011-07-07T21:54:46.981+03:00huko ulaya na america na asia pia kuchekesha watu ...huko ulaya na america na asia pia kuchekesha watu ni big deal yaani ni pesa kwasababu watu wako so serious na maisha ndo maana watu kama huyu dogo wanakuwa money machines.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-12911659038958223982011-06-14T18:50:41.398+03:002011-06-14T18:50:41.398+03:00Zamaradi huyu dogo huku kwetu amejipatia umaarufu ...Zamaradi huyu dogo huku kwetu amejipatia umaarufu mkubwa sana kwa kuiga video kwenye youtube sikuhizi wasanii wakubwa wanamchukua kwenye show zao na video zao pia...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-34937949203303702692011-06-14T17:46:50.518+03:002011-06-14T17:46:50.518+03:00Zamaradi huyo anaitwa Keenan Cahil (16) kutoka pan...Zamaradi huyo anaitwa Keenan Cahil (16) kutoka pande za chicago, huwa anaimba nyimbo za watu na kuweka youtube. Wasanii wenyewe wanamkubali ukiangalia youtube utakuta "Down on Me" ya Jerimiah aliyoimba na 50cent then akaja kuimba tena na Jeremiah mwenyewe... yaani Dogo ni anakubalika sijui kwanini<br /><br />Mdau ChicagoAnonymousnoreply@blogger.com