tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post4063110144633780712..comments2023-12-17T19:09:00.978+03:00Comments on ZAMARADI: HALI YA KIAFYA YA MZEE KIPARA SI YA KURIDHISHA SANA...Zamaradihttp://www.blogger.com/profile/02933249568135217479noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-2159477719851732162011-10-25T07:43:22.229+03:002011-10-25T07:43:22.229+03:00hivi nyie wasanii mmeshidwa kabisa kumpeleka hospi...hivi nyie wasanii mmeshidwa kabisa kumpeleka hospital huyo mzee? hizo pesa anazopelekwa zinamsaidia nini bila kupata matibabu? na hiyo tabia ya kujionyesha kwenye mablog mkiwa mnapeleka hivyo visent vyenu kwake hatuitaki, changishaneni mumpeleke hosp. harakaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-53029991291733218242011-10-17T10:27:21.471+03:002011-10-17T10:27:21.471+03:00zama unaboa, nilikuwa napenda sana blog yako lakin...zama unaboa, nilikuwa napenda sana blog yako lakini siku hizi inanikeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,umekuwa mvivu sana hata kama umebanwa hizi zote ni kazi zako jifunze kujigawa kotekote bwana. Kila kitu ni kujipanga tu Zama.BEATRICEnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-20239402805603205872011-10-13T15:07:24.639+03:002011-10-13T15:07:24.639+03:00Jamani kwani matibabu ya tatizo lake hakuna, ebu m...Jamani kwani matibabu ya tatizo lake hakuna, ebu mpelekeni hospital achene kwenye kujishow tu na kumuweka kwenye mablog mpeni matibabu jamani. vipesa mnavyompelekea havisaidii kitu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-71696379465432952492011-10-11T16:43:40.012+03:002011-10-11T16:43:40.012+03:00Naomba kuuliza: Zamaradi, naomba kuuliza si ujinga...Naomba kuuliza: Zamaradi, naomba kuuliza si ujinga. Mzee Kipara ni nani? Bahati mbaya mimi nilikuwa ughaibuni miaka mingi na lazima nikiri kuwa sijawahi kumsikia Mzee Kipara. Ahsante.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-40259030633137275252011-10-11T15:18:28.999+03:002011-10-11T15:18:28.999+03:00POLE SANA MZEE KIPARA, MWENYEZI MUNGU ATAKUPONYA. ...POLE SANA MZEE KIPARA, MWENYEZI MUNGU ATAKUPONYA. AMEN.JIGAMBE TECHNOLOGIES LIMITEDhttp://www.jigambe.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-63286719307791327852011-10-11T08:08:09.781+03:002011-10-11T08:08:09.781+03:00Hivi kwanini hapelekwi Hospital au ndio mkwanja ha...Hivi kwanini hapelekwi Hospital au ndio mkwanja hamna? kila siku dvd za movie zinauzwa ebu ongezeni 500 tu ktk kila dvd hizo pesa zitaweza kumtunza huyo mzee hadi mwisho wa maisha yake.<br />wako<br /> JamesAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-24801655015848026492011-10-10T17:42:48.513+03:002011-10-10T17:42:48.513+03:00NAOMBA KUULIZA IVI HUYU MZEE HANA NDUGU DASLAMU NZ...NAOMBA KUULIZA IVI HUYU MZEE HANA NDUGU DASLAMU NZIMA????? HAKUWAI KUZAA AU KUOA????Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-68608142718556094642011-10-10T17:09:00.741+03:002011-10-10T17:09:00.741+03:00pole sana mzee kipara Mungu akujalie na upone iyo ...pole sana mzee kipara Mungu akujalie na upone iyo miguu na vingine vyote unavyoumwa,,pole sana.No NameAnonymousnoreply@blogger.com