tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post6614216556765900680..comments2023-12-17T19:09:00.978+03:00Comments on ZAMARADI: SOPHIA KESSY ANAKUJA NA MAMALAND ON CLOUDS TVZamaradihttp://www.blogger.com/profile/02933249568135217479noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-90372170814930387772011-02-15T14:05:30.147+03:002011-02-15T14:05:30.147+03:00HAKUACHA KAZI, ILA ALITAKAZA KUACHA KIPINDI CHA BA...HAKUACHA KAZI, ILA ALITAKAZA KUACHA KIPINDI CHA BAMBATAA BAADA YA KUFANYA MAREKEBISHO YA VIPINDI CLOUDS FM

NOW YUPO CLOUDS TV

Zamaradi kwa maswali waulizayo wadau wako ya muhimu hasa hili, uwe unawajibu, hilo ndo la msingiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-35666522767436294142011-02-11T03:38:17.105+03:002011-02-11T03:38:17.105+03:00Sophia nakuzimia sana kwa kusema ule ukweli.... Uk...Sophia nakuzimia sana kwa kusema ule ukweli.... Uko juu dadaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-36271851243531817652011-02-10T11:15:33.034+03:002011-02-10T11:15:33.034+03:004 sure nampenda sasa Dada sophia kessy kwa mwoneka...4 sure nampenda sasa Dada sophia kessy kwa mwonekano wake tu! amekaa kiafrika zaidi skin yake nywele zake kichwani mwambie namsalimi sana
BY Augustine magessaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-22519083962101927052011-02-09T14:21:37.499+03:002011-02-09T14:21:37.499+03:00Lkn mbona alitangaza kuwa anaachana na kazi ya uta...Lkn mbona alitangaza kuwa anaachana na kazi ya utangazaji baada ya kujadiliana na familia yake na party mkafanyia. Sasa imekuaje tena?? By ma2 wa2Hawahttps://www.blogger.com/profile/00066100846716348892noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-77471165000245726802011-02-09T12:25:38.897+03:002011-02-09T12:25:38.897+03:00hana hata sura ya mauzo uyu nae sio sura ya tv kab...hana hata sura ya mauzo uyu nae sio sura ya tv kabisa mtafutieni kipindi kingine redioniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-29261148768104823642011-02-09T11:47:28.780+03:002011-02-09T11:47:28.780+03:00huyu si mlituambia kaacha kazi jamani?au nimekosea...huyu si mlituambia kaacha kazi jamani?au nimekosea?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-45967438339339077142011-02-09T11:34:20.821+03:002011-02-09T11:34:20.821+03:00Dear Zama,
Hiyo clouds tv huku kwetu tanga mnampa...Dear Zama,

Hiyo clouds tv huku kwetu tanga mnampango nayo gani? coz tunakosa vipindi vingi vizuri Last week nilikuwa dar kikazi nikabahatika kupata nafasi ya kuona kipindi chako cha take one yani balaa big up zama uko juu, so kuhusu tanga inakuwaje mamy please reply my Mail please zama kazi njema,nasubiri jibu!

sharifa wa tangaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-90679613418590262432011-02-08T22:36:51.027+03:002011-02-08T22:36:51.027+03:00Dada Sophia mim napendaga sana hilo pozi lako. Yaa...Dada Sophia mim napendaga sana hilo pozi lako. Yaani naamini atakayebahatika kukuoa atapata raha sana, inaonekana wala hula makuu!!! Keep it up dada!!!!Anonymousnoreply@blogger.com