tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post6811178499881361502..comments2023-12-17T19:09:00.978+03:00Comments on ZAMARADI: HIZI MAKE-UP ZETU KWENYE FILAMU NI SAWA KWELI??Zamaradihttp://www.blogger.com/profile/02933249568135217479noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-79574688037075798732010-04-08T05:33:01.968+03:002010-04-08T05:33:01.968+03:00Hii ni mar yangu ya kwanza kuchangia ktk hii blog!...Hii ni mar yangu ya kwanza kuchangia ktk hii blog! Ila hii mada kusema kweli imenigusa kama alivyosema mdau ANTI.BONGO hakuna "MOVIE STARS BONGO" Kwa sasa kwani wapo ambao wanataka kupata pesa za haraka! Najua kuwa hatujafikia level ya nchi za Western lakini watu wengi sasa wanauza sura. Haiwezekani with a week or two mtu anatoa movies 2 or more! Na pia the way wanavyokremisha maneno basi wanaonyesha kabisa "acting" and not real. wanatakiwa wawe wanaonyesha uhalisia wa maisha ya mtanzania. Na sio kuigiza kuwa wana uwezo wanaishi kifahari n.k!
Na sijui nani kawaambia kuwa kuongea kwa kufoka ndo kuigiza..yaani wanawaigiza NIGERIANS; hawajui kuwa wao nikutokana na lugha zao..
Tuache ushamba na tuanze kufanya mambo yetu na sio kuiga vitu ambavyo havitufikishi popote.
Mdau, USAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-59809605133403022342010-03-31T13:40:16.126+03:002010-03-31T13:40:16.126+03:00unajua nini zamaradi Bongo tasnia ya filamu watu w...unajua nini zamaradi Bongo tasnia ya filamu watu wanakurupuka sana ndo mana mpaka leo hakuna maendeleo ktk tasnia hii, watu wanauza sana sura yani unakuta mtu anajiremba mpaka anapitiliza afu ukiangalia scene anayocheza ni house gal au mfanyakazi wa kawaida. tatizo hili ni kwa wasanii wakubwa ambao ndo wamezidi. bongo tuna safari ndefu kama wanataka movie za bongo ziweke au kugombea tunzo nje ya tanzania waty wasome kwanza wasijidangaje kuwa kazaliwa na kipaji hiyo sio tija, bongo hakuna movie bali ni MAIGIZO tu.
Mdau. ANTI-BONGO MOVIEANTI.BONGO MOVIEnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-26788162560832493802010-03-27T09:13:42.066+03:002010-03-27T09:13:42.066+03:00Nilichangia GP watu wakanipaka sana tu. vipi hata ...Nilichangia GP watu wakanipaka sana tu. vipi hata mfanyakazi wa ndani anavutia kama boss wake.
hali halisi ya maisha yetu ni wachache sana wanaoishi mazingira hayo.

KIBATA
MDAU S.AAnonymousnoreply@blogger.com