tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post7410423713725247292..comments2023-12-17T19:09:00.978+03:00Comments on ZAMARADI: LEO TULIPATA UGENI KUTOKA DAYSTAR COLLEGE....Zamaradihttp://www.blogger.com/profile/02933249568135217479noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-68579829655453884742011-04-06T18:22:00.881+03:002011-04-06T18:22:00.881+03:00unatisha wa kike,keep it upunatisha wa kike,keep it upAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-39667729191224817562011-03-22T17:43:22.606+03:002011-03-22T17:43:22.606+03:00Ni mara yangu ya kwanza kufungua na kusoma 'bl...Ni mara yangu ya kwanza kufungua na kusoma 'blog' hii na, licha ya kuwa sijapata muda wa kutosha kusoma vizuri maelezo uliyoweka humu, napenda kukupongeza kwa kazi nzuri ya kuzitangaza filamu za wasanii wa Tanzania. Jambo moja linalonikera hapa ni tabia ya kupenda kuchanganya lugha ya kiingereza na kiswahili, tabia inayozaa lugha ambayo mitaani tunaita ki-swanglish. Naamini dada Zamaradi umefika kiwango kizuri tu kielimu hivyo sina shaka unaweza kutumia lugha ya kiswahili fasaha. Jitahidi kuacha hicho ki-swanglish na utumie kiswahili fasaha katika 'blog' hii, nadhani itapendeza sana. Huo ni ushauri wangu tu.Jeff Mnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-10340412663799047772011-03-17T18:18:44.217+03:002011-03-17T18:18:44.217+03:00Its like kama wamekuja tu kushangaa shangaaa hawak...Its like kama wamekuja tu kushangaa shangaaa hawako kimasomo kwa jinsi wanavyoonekana ,lets be honest Zama ziara ya kimasomo kama wametembele studio at walitakiwa kucheki how matangazo yanavyokwenda hewani, time mnaporusha hewan nyimbo hivi how kuedit labda matangazo etc etc etc but sio swaga za kupigiana story kama mpo na ticha wa history kwa class bana bt si mbaya tumekuonana mdada ulivyotupia kiwalo umetoka woooo safiiiiiiiiiii hakunaga majotroooooooooooooooAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-78226203663898925112011-03-17T16:23:27.292+03:002011-03-17T16:23:27.292+03:00Kula vizuri angalau unenepe kidogo maana yake unat...Kula vizuri angalau unenepe kidogo maana yake unatisha.......<br />Huna hata nyama mtoto wa kikeAnonymousnoreply@blogger.com