tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post7571706339701602128..comments2023-12-17T19:09:00.978+03:00Comments on ZAMARADI: MTOTO WA MIAKA 3 (mitatu) MWENYE KILO 60 (sitini)...Zamaradihttp://www.blogger.com/profile/02933249568135217479noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-8963359029280994842011-03-31T10:02:27.065+03:002011-03-31T10:02:27.065+03:00nampa pole huyo mtoto ila nawashauri wazazi wampel...nampa pole huyo mtoto ila nawashauri wazazi wampeleke hospitali na kumpa vyakula visivyo na mafuta na visivyonenepesha.pia wamwombe Mungu amsidie mtomto wao naamini atapona kwani siyo hali ya kawaida.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-13905123556533505042011-03-26T10:21:48.672+03:002011-03-26T10:21:48.672+03:00Ukistajabu ya Mussa utayaona ya firauni,mie sijawa...Ukistajabu ya Mussa utayaona ya firauni,mie sijawahi ckia mtoto wa miaka 3 kuwa kg 60!!honest its ma first time.mwanaidnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-43336553707414064972011-03-26T08:31:02.751+03:002011-03-26T08:31:02.751+03:00nomanomaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-54605244027299405192011-03-25T13:57:32.988+03:002011-03-25T13:57:32.988+03:00zama me cjawahikucomment ila leo imebidi, huyo dog...zama me cjawahikucomment ila leo imebidi, huyo dogo ni balaa, mie nna 21yrs cjawahi fika hata 55kgs, nacheza kwny 40s ila yeye du???? 60kgs, kiboko hiyo--- mie ESTERAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-30912231310287727072011-03-25T10:06:58.311+03:002011-03-25T10:06:58.311+03:00yani huyo mtoto sio bure atakuwa ana tatizo,mie ni...yani huyo mtoto sio bure atakuwa ana tatizo,mie niko na miaka 24 na nina uzito huyo alionao yeye,yani umri wangu unaingia kwakwe mara 8 lakini tuna uzito sawa.<br />pole yake kwani no kubebwa kwa mtindo huo na pia maradhi ya moyo yapo mbioni kwani sio kawaida.middynoreply@blogger.com