tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post7713191138930029112..comments2023-12-17T19:09:00.978+03:00Comments on ZAMARADI: TAFAKARI......!!!Zamaradihttp://www.blogger.com/profile/02933249568135217479noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-26064805397608990252010-11-11T08:50:46.077+03:002010-11-11T08:50:46.077+03:00hivi wewe huwezi kutuma picha za matukio ya maana ...hivi wewe huwezi kutuma picha za matukio ya maana zaidi ya hayo mbona hauko serious na unachofanya katika blog yako pole kama ulianzisha blog ili uweke makatuni hatuna muda wa kuview blog yako bi mkubwa we endelea na biashara zingine hii ya blog unaonyesha dhahiri umeshindwa kaa chini jifunze cha kufanya.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-54057373740118583872010-10-15T14:53:49.736+03:002010-10-15T14:53:49.736+03:00Hivi hawa watoto wote sita ni wa baba na mama mmoj...Hivi hawa watoto wote sita ni wa baba na mama mmoja- RamozaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-7539371162417246572010-08-30T04:00:08.704+03:002010-08-30T04:00:08.704+03:00tafakari kuu hapo ni hivyo viboya viunoni. watoto ...tafakari kuu hapo ni hivyo viboya viunoni. watoto wa3 wote waliopandishwa nguo zao juu wamevaa hirizi, hiyo ni kuonyesha kuwa ndumba na uafrika ni pacha. hii ndio tafsiri kubwa iliyomo katika hiyo picha. tafakari tena utaungana na mimi kimawazoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-39900268329377148012010-08-25T18:20:15.733+03:002010-08-25T18:20:15.733+03:00wako wanashughulika kwenya mabakuriwako wanashughulika kwenya mabakuriAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-41063808286308671722010-08-23T17:07:26.879+03:002010-08-23T17:07:26.879+03:00Zamaradi dadangu uliwaza nini ulipoweka hii picha?...Zamaradi dadangu uliwaza nini ulipoweka hii picha? Duh ni mcharazo mkali wa tuliko toka....MARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5749487803799479698.post-44597964713947215542010-08-23T16:03:58.665+03:002010-08-23T16:03:58.665+03:00SIAJELEWA UKO BIZE AU NI GHARAMA KUTUMA MATUKIO?UN...SIAJELEWA UKO BIZE AU NI GHARAMA KUTUMA MATUKIO?UNATUMA PICHA MOJA KWA WIKI.AU MI NDO SIELEWI?Anonymousnoreply@blogger.com