This Blog is all about Social and Entertainment issues... Karibu kwenye Dunia yangu!!! kwa mawasiliano tumia zamaradi.takeone@gmail.com
Thursday, June 30, 2011
Thursday, June 23, 2011
MATAYARISHO YA FIESTA MWANZA..
Monday, June 20, 2011
Friday, June 17, 2011
PICHA YA LEO... ARNOLD KAYANDA!!!

Wednesday, June 15, 2011
AMBAYO YANATUTOKEA WAKATI WA KUREKODI KIPINDI... WATCH IT!!!
Hii kitu ilitokea bila kutegemea wakati narekodi kipindi cha TAKE ONE juzi ambapo wakati narekodi ghafla nikamuona Cameraman wangu amesitisha zoezi la kurekodi ikabidi nimuulize ni nini, akanijibu kwamba kuna kitu amekiona tukiache kwanza kipite, lakini katika hali ya kujiamini nikajitia sio muoga nikajipa ujasiri na kuwa ngangari na kusema kwamba turekodi nacho tu lakini kilichotokea ndio hiko hapo juu WATCH IT!!!
Kuna vitu fulani katika maisha ambavyo vinatokea bila kupanga na bila kutegemea vinakuwa vizuri na vinakuwa ni vigumu kuvipata tena sehemu nyingine yoyote.. Thats what we call Magic moments sababu haziwezi kujirudia tena hata mjipange vipi..
I love that clip!!!
Tuesday, June 14, 2011
HEBU MUANGALIENI HUYU MTOTO JAMANI.. MNAMUELEWA!!???? LOL....
anaimba take it off mwenyewe, halafu ukimuangalia vibaya unaweza kuhisi ni kajitu kazima maana hakaeleweki ni kakubwa ama katoto.. jamani!!!
I LOOVE THIS SONG.. GRENADE - BRUNO MARS.. hapo chini ni wimbo, STUDIO SESSION pamoja na THE MAKING YA VIDEO (GRENADE)
HII (CHINI) NI BEHIND THE SCENE WAKATI WA KUSHOOT VIDEO YA WIMBO HUU.. WATCH IT!!
Hapo juu akielezea maana nzima ya kutumia concept aliyoitumia kwenye video ya Grenade, the use of piano na vitu vingine.. It was Behind the scene!!!
I really love the song kutoka kwa Bruno Mars!!! hiyo hapo juu ni studio session.. ENJOY!!!
PICHA YA LEO... ZAMA na CEASER!!!

Hiyo ndio picha ya leo!!!!
Monday, June 13, 2011
ILIVYOKUWA KWENYE BIRTHDAY YA SINTAH...

Friday, June 10, 2011
UNA KIPAJI CHA KUIGIZA!? UNA NDOTO ZA KUWA STAR MKUBWA WA FILAMU.. HUU NI MUDA WAKO NA KESHO NDIO SIKU YAKO..
Kwa wewe mkazi wa Dar es salaam.. Kama unajijua una kipaji cha kuigiza na ndoto zako siku zote ni kufanya vizuri kwenye Industry ya filamu basi huu ni muda wako..
Siku ya kesho pale LEADERS CLUB Kinondoni kutafanyika USAILI MKUBWA SANA wa kutafuta WAIGIZAJI kwa hapa Tanzania, na hii ni Serengeti Fiesta Filamu chini ya CLOUDS ENTERTAINMENT katika kusherehekea miaka Kumi ya Fiesta.
Naweza nikaita hii ni Golden Chance kwa yeyote mwenye ndoto za kuwa muigizaji wa Filamu hivyo sherehekea kwani huu unaweza ukawa ni msimu wa dhahabu kwako kwa kutimiza ndoto zako..
Mbali na mimi mwenyewe kuwepo ambae ndio nitaongoza zoezi zima(zamaradi) Tutakuwa na mastar wengine wengi wa Filamu kama Aunt Ezekiel, Jacky Wolper, Wema Sepetu, Jacky Pentzel, Single Mtambalike richie, Jacob Steven (JB), Yusuph Mlela pamoja na Director William Mtitu.
Hivyo Tukutane LEADERS CLUB siku ya KESHO jumamosi kuanzia saa NNE kamili ASUBUHI!!
HII NI BURE KABISA... KIKUBWA TUNACHOANGALIA NI KIPAJI CHAKO!!
NJOO UTIMIZE NDOTO ZAKO!!!

Thursday, June 9, 2011
SINA NINACHOKIJUTIA katika NILIYOYAFANYA BIG BROTHER - BHOKE!!!
Lakini Bhoke alisema kwamba hakuna na HAJUTII CHOCHOTE katika yote ambayo ameyafanya "Sijutii chochote, i really enjoyed being in the house na yote niliyoyafanya niliyafanya kama mimi so hakuna chochote ambacho naweza nikajutia..."
Na nilishawishika sana kumuuliza swali hilo kutokana na kitu ambacho kilitokea kwenye jumba lile ambapo kuna CLIP inayoonesha akifanya matendo ya kimapenzi na mshiriki wa Uganda (Ernest), hivyo kusambaa kwa clip ile kukanifanya nitamani kujua yeye kama yeye anaichukuliaje hali ile kwasasa.. Is it bothering her!? ama ni part of life na maisha inabidi yaendelee, lakini mwisho wa siku jibu lake ndio hilo kwamba kujuta hakuna nafasi kwenye maisha yake kwani chochote ambacho kimetokea, kimetokea na maisha inabidi yaendelee!!!
Kipande kilicholeta utata...
Haya kwa wale wadau mliotaka kujua jibu ndio hilo hapo!!!!! No regrets...
Wednesday, June 8, 2011
DAR PAZURI... HILI NI ENEO MOJA HUKO MBAGALA...

Monday, June 6, 2011
KITCHEN PARTY - HUSNA..

Hongera mama na kila la kheri kwenye harusi yako.. Ukatulie na mumeo huko!!!