ZAMARADI

This Blog is all about Social and Entertainment issues... Karibu kwenye Dunia yangu!!! kwa mawasiliano tumia zamaradi.takeone@gmail.com

Monday, November 12, 2012

STAY TUNED... BACK sooon...

›
Its been a year now since my last post on this blog.... nimepata comments nyingi sana watu wakinisema kuhusiana na ukimya wangu tena weng...
6 comments:
Thursday, November 10, 2011

MWINGINE HUYO.. GUESS WHO!!

›
kwa kuziangalia tu hizo sura hapo juu unahisi zinaletaleta na nani!!??? hao watoto unaowaona hapo juu ni mapacha, na mmoja kati yao kwasasah...
30 comments:

MMEPATIA.. lol

›
! niliweka hii picha hapo juu na kuomba watu waguess huyo ni nani.. na wengi wameonekana wako makini sana na kutaja jina la hemed, na hilo n...

G5 click wanakuletea.. BODA KWA BODA beach concert!!

›
BODA KWA BODA BEACH CONCERT ON 12th Nov.....,here comes what you have been waiting for tz BODA KWA BODA BEACH CONCERT..Stage will be covered...
Monday, November 7, 2011

GUESS WHO...!

›
hako katoto unakokaona hapo juu ni mmoja kati ya mastar wakubwa sana wa filamu kwa sasa.. hapo akiwa na mama yake.. hebu hisi huyo ni nani!?...
88 comments:

HONGERA SANA VENTURE kwa kutuletea BABY GIRL...

›
hhatimae ndoa imejibu, hapo juu a new baby girl akiwa na auntie.. kako soo chwit jamani.. na kanaonekana kajanja.. lol nhapo juu ni new pare...
13 comments:
Friday, October 28, 2011

MOJA YA SCENE ZILIZOWAHI KUNIFURAHISHA ZA FILAMU...

›
Haimaanishi kwamba hiyo filamu ndio the best film hapana, ila ninachozungumzia ni kipande nilichokipenda ambacho kinapatikana kwenye filamu ...
7 comments:

MJUE MSANII SHAMSA FORD...

›
9 comments:
Wednesday, October 26, 2011

THE LOST ADAM - moja kati ya filamu nilizozipenda kwa mwaka huu...

›
Nimeangalia filamu nyingi sana kwa mwaka huu na hiyo ni kutokana na kazi yangu pia.. Kiukweli kuna improvements nyingi sana kwenye filamu ze...
9 comments:
Tuesday, October 25, 2011

USIKOSE TAKE ONE LEO USIKU on CLOUDS TV

›
Usikose TAKE ONE siku ya LEO saa TATU KAMILI USIKU on CLOUDS TV na Zamaradi Mketema!!
16 comments:
Thursday, October 20, 2011

DAD and SON.. soo lovely!!

›
Allen Mushi na mtoto wake jayden!
15 comments:

PICHA YA LEO.. warembo wa bongo movie!!

›
Wema kajala na lulu!!
18 comments:

KWA KUMSIKILIZA LULU AKIONGELEA MWENYEWE KUHUSIANA NA JUSTIN BIEBER.. BONYEZA HAPO CHINI!!!

›
LULU na JUSTIN BIEBER by nelly@g5click.com LULU na JUSTIN BIEBER by nelly@g5click.com Hiyo ni Interview niliyofanya nae kwenye redio ambap...
6 comments:
Wednesday, October 19, 2011

HEMED na MLELA kuja kivingine..

›
tegemea kuwaona katika filamu mpya kabisa itakayotoka hivi karibuni ambapo wameigiza character tofauti kabisa wakiwa mererani kwenye machimb...
5 comments:

HII NI KWELI..!!?? lol

›
Hebu angalia hizo picha hapo kwa umakini sana halafu uniambie kuna ukweli wowote katika maana zilizotolewa kwenye hizo aina za ulalaji wa mt...
10 comments:
Tuesday, October 18, 2011

USIKOSE TAKE ONE LEO na kila JUMANNE kupitia CLOUDS TV saa TATU KAMILI USIKU!!

›
4 comments:

MLOPELO AILALAMIKIA CLOUDS KWA KUTOPIGA WIMBO WAKE

›
Msanii wa siku nyingi wa maigizo MLOPELO ambae alikuwa akiigiza kama jini mara nyingi kwa enzi hizo kupitia kaole ameibuka na kuilalamikia C...
9 comments:
Monday, October 17, 2011

LULU ANATARAJIA KWENDA EUROPE KUMTAFUTA JUSTIN BIEBER.. ANASEMA ATACHANGISHA HATA KADI KWASABABU HIYO...

›
Msanii Star wa filamu ambae alianza kuigiza akiwa na umri mdogo ameamua kufunguka na kuweka wazi kwamba ana mpango wa kwenda EUROPE kwa saba...
14 comments:
Monday, October 10, 2011

HALI YA KIAFYA YA MZEE KIPARA SI YA KURIDHISHA SANA...

›
Nilipata nafasi ya kumtembelea kama mara mbili hivi kwenye wiki hizo zilizopita na kiukweli kabisa ukiangalia hali yake kiafya kwasasa nawe...
8 comments:

KAJALA - MTOTO WANGU NDIO KILA KITU KWANGU

›
Hii ilikuwa kupitia kipindi cha TAKE ONE ya Clouds TV ambapo Kajala aliweza kufunguka vitu vingi sana kuhusiana na maisha yake ikiwemo mahus...
6 comments:
Friday, October 7, 2011

JINSI WEMA SEPETU ALIVYOVALISHWA PETE NA DIAMOND..

›
Kwa wale ambao hawakufanikiwa kufika kwenye tukio, ama waliomiss kipindi cha TAKE ONE ya CLOUDS TV, hivyo ndivyo hali ilivyokuwa ambapo siku...
8 comments:

SIJUI NIELEZEE VIPI NIELEWEKE LAKINI JUA TU NAUPENDA HUU WIMBO KULIKO MAELEZO YENYEWE...

›
Ukiniuliza sababu naweza nisiwe na ya maana sana ya kukupa lakini kwakweli NAUPENDA huu wimbo kuliko kawaida, na nikiwa nausikiliza huwa sip...
7 comments:

PICHA TU ZA KUMALIZIA...

›
keki yangu ya pili on my birthday!!! picha tu za kumalizia...
1 comment:

UNAMKUMBUKA MBONI MASIMBA KWENYE HII VIDEO!!???

›
Wimbo unaitwa ZUWENA.. Moja kati ya nyimbo ambazo ziliwahi kufanya vizuri na kutamba sana hapa Tanzania kwa kipindi hiko kutoka kwa Mr. Paul...
Tuesday, October 4, 2011

ASANTE SANA SHAMSA for the CAKE!!!

›
Nimemzoea kwa jina la SHAMSA ingawa wengi wanaomfahamu kwasasa humuita SHAMSA FORD ambalo ndio jina lililomtambulisha kwenye fani, Ukiangal...
8 comments:
Monday, October 3, 2011

I CANT WAIT FOR MY BIRTHDAY KESHO.. SHUKRANI KWA MAMA YANGU PAMOJA NA WOTE WALIO KWENYE MAISHA YANGU.

›
Katika tarehe ambazo nazipenda basi nafikiri tarehe 4 ya mwezi wa KUMI itakuwa inaongoza sababu ndio siku niliyozaliwa.. Nakumbuka kwa mwak...
12 comments:

UNAMKUMBUKA HUYU!!!????

›
Anaitwa MLOPELO, kwa wale ambao ni wafUatiliaji wa maigizo ya kaole kipindi hiko hatakuwa mgeni kwenu, alikuwa akiigiza kama mchawimchawi hi...

NAOMBA RADHI KWA KUWA KIMYA KWA MUDA WOTE HUO

›
Nimekuwa kimya kwa kipindi cha takriban mwezi mmoja sasa, kuna wengi wametuma comments negatives and positives kulalamikia hali ya ukimya w...
10 comments:
Monday, September 5, 2011

HONGERA DJ VENTURE..... VENCHAAAAAAAAAAAA!!!!

›
Hongera sana Venture kwa kufanikiwa kuivuka hatua hii muhimu sana kwenye maisha!!!! kila la kheri kwenye ndoa yako!! Wengi walijitokeza...
24 comments:
›
Home
View web version

Contributors

  • MICHUZI BLOG
  • Zamaradi
Powered by Blogger.