tegemea kuwaona katika filamu mpya kabisa itakayotoka hivi karibuni ambapo wameigiza character tofauti kabisa wakiwa mererani kwenye machimbo
ukiangalia juu juu hapo unaweza usiwatambue harakaharaka kwa jinsi walivyojiweka na muonekano wao ulivyo
hapa akipewa dozi na wamasai wa mereranicoming soon!!
Zamd, Das good news bana!! I think itakuwa nzuri sana kwasababu wameonyesha mazingira ambayo watu wengi hatuyajui, kama hasle za Merelani mmmhh!!! Pamoja ZAM!!
ReplyDeleteNice post...
ReplyDeleteitakuwa balaaa hivyo viocho tu vya location nimekubali
ReplyDeleteyani hemedi kapendeza kuliko anavojiembaga na mapoda cjui yani ananiuziiiiiiiiii, anapendeza akijiweka kiume zaidi hii move naisi itakuwa poa sn
ReplyDeletesasa itabidi wakitoka huko wanyoe nywele zote maana duh
ReplyDelete