Monday, February 22, 2010

Karibuni

Karibuni watu wote

17 comments:

  1. ahsante sana,tunaomba kuona picha yako basi katika hili libeneke lako.halafu naona post iko moja tu ndio jipya jipya nini?kwa jinsi ninavyokujua, my parception libeneke hili litakua
    funika bovu.tunaomba habari za burudani kwa sana tu.
    mdau saudi arabia.

    ReplyDelete
  2. Usijali picha zangu mtaziona tu.. Ni kweli hili ndio kwanza jipyajipya ila tegemea mazuri zaidi kadri siku zinavyokwenda...
    Karibu na Asante sana.

    ReplyDelete
  3. mbona hii global yako ni ya watu flani tu ?!!!!!

    ReplyDelete
  4. unakasura flani hivi na vijilips flani hivi vitamuuuuuuuuuuu.

    ReplyDelete
  5. Congratulation Zam! You seem pretty smart!! Weneed you!

    ReplyDelete
  6. Congratulation Zam! You seem pretty smart we need you!!!

    ReplyDelete
  7. Hi Zamaradi,

    Ur very very cute Zama, and ur voice makes me mad, I realy like to hear ur voice and see ur face every single second. I hope someone who is very luck does this. Please, keep on posting as many as possible photos of urs. Realy I admire u, I hope one day I will see u face to face.

    ReplyDelete
  8. Imetulia mdogo wangu kaza buti inshallah mbele utafika

    Mzuri

    ReplyDelete
  9. jamani zamaradi hongera mamaa jitahidi wadau tupo mama.hiyo dress imekutoa bomba

    ReplyDelete
  10. naitwa amina zangira jamani big up zama kaza buti mamaa

    ReplyDelete
  11. mwaya jitahidi sana tuu mwendo ni uleule spidi 120.kwenye kona shaaa!!au unabishaa?

    haina noma na nasema hivi wale wote wanaotaka kubanana nawewe waache tuu kwani najua utawabana na hatimae watasogeaaa tuu !unaju kwa nini watakuwa wamebanwaaaa!!hahahaha

    ReplyDelete
  12. hakuna wa kuna nana nawe kwani wakibanana lazima wataondoka tuu kwani najua utawabanaaa.hahahahaha

    ReplyDelete
  13. poaazzzz......mwanaaa hakuna wa kubanana na wewe kwani najua utawabanaaaa.ahahahahahaha

    ReplyDelete
  14. NEMESOMA POST ZAKO NA MAMBO UNAYOYASEMA NAONA UMEENDA SHULE NA UNAKICHWA JUST TAKE IN ON ANOTHER LEVEL, UKO FIT NA INDUSTREY YAKO KAZA KAMBA TU UTAFIKA NIMEPENDA THE WAY YOU ANALYSE STUFF

    ReplyDelete
  15. Za hapo juu Zinatosha kabisa nikiongeza nitaharibu....au si ndio!!!?

    ReplyDelete