Tuesday, February 23, 2010

NANI MKALI.....!!???

Kupitia 'Movie leo' ya Leo tena ndani ya clouds FM siku ya Jumatatu tuliweza kumpata msanii bora wa kike kwa mwaka 2009/2010 kwa maana ya aliefanya vizuri kwa mwaka jana.Na hii ilikuwa ni kupitia kura yako wewe mtazamaji wa Filamu za hapa kwetu Tanzania.
Mambo hayajaishia hapo turudi katika upande wa WANAUME, kwako wewe ni nani aliefunika kwa mwaka 2009 mpaka sasa tunavyoongea 2010. Tuma kura yako sasa humu ndani ama Sikiliza Movie leo ya leo tena kila siku Jumatatu hadi Ijumaa saa 10:45 asubuhi kwa maelezo zaidi.Tuma kwa e-mail address ya zammyt25@yahoo.com ama namba ya simu 0778 295551/0784 499547

Niambie NANI MKALI kati ya hawa wafuatao...?????



Single Mtambalike 'Richie rich'



Vincent kigosi 'RAY'




Yusuph Mlela 'ANGELO'



Steven Kanumba 'KANUMBA'




Hemed Suleiman 'HEMED'




Mohammed Mwinkongi 'FRANK'



Mahsein Awadh 'CHENI'



Hajji Adam 'BABA HAJI'


Hao ni baadhi tu ya wasanii wa kiume, kuna wengi sana ,kazi kwako kuniambia mwaka jana ni nani 'ALISHINE' kuliko wengine katika Industry ya Flamu hapa tanzania.

NANI MKALI?

37 comments:

  1. ebwana nenda rudi paka poda osha ,funika funua,oga tokajasho ila mtumzima richie mtambalike a.k.a single anaetembea kwenye barabaa ya ndege,kuleeeeeeeeee juuu.

    ReplyDelete
  2. Kanumba mkali

    From G

    ReplyDelete
  3. HAPO MKUBWA RAY NDIO NO 1.
    MDAU:SAUDI ARABIA

    ReplyDelete
  4. mkali kivipi kwa kuiga wanaigeria(wapopo)au kwa poda,acting au cinema nzuri yenye maana inayo mgusa mbongo au mambo ya ofisi,magari na nyumba za kifahari na wanawake kipi kati ya hayo?tukuambie nani mkali

    ReplyDelete
  5. MHH KWAKWELI MSEMO WA MDAU HAPO JUU KAMA NI KWA KUWAIGA WANAIGERIA KANUMBA NA RAY. ILA WA UKWELI HAPO NI HEMED YUPO JUU ILE MBAYA

    ReplyDelete
  6. MKALI WA YOUTE HEMED

    ReplyDelete
  7. kanumba ni zaidi ya wote hapo.

    ReplyDelete
  8. I LOVE KANUMBA,IS THE BEST AND SEXY.

    ReplyDelete
  9. sijaona zaidi ya kanumba jamani he si serious na hakurupuki bwn mdg huyo.

    ReplyDelete
  10. kanumba he is the best

    ReplyDelete
  11. Kwangu Mimi namkubali Sana JB. Yuko Kiukweli zaidi na kingine ni kwamba ni baadhi wa waigizaji wa kiume "wasiojiremba" make up haimfanyi awe "fake" kama baadhi ya Waigizaji wa Kiume. Ni hayo tu

    ReplyDelete
  12. kura yangu kwa kanumba the great....

    ReplyDelete
  13. KANUMBA MATAWI YA JUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete
  14. I LOVE STEVE KANUMBA THE GREAT.

    ReplyDelete
  15. No one lyk kanumba...is great.

    ReplyDelete
  16. MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI KANUMBA NI ZAIDI YA WOTE HAPO YUKO KIMATAIFA SHOSTI WEEEE ILA KWA NYINYI WATU WA CLOUDS MNAVYOMCHUKIA NAJUA MTAMPA MTU WENU..ACHENI CHUKI ZA KIJINGA SHOSTI WANGU WEEE KAMA MUNGU KAANDIKA IPO NI IPO TU.BIG UP KANUMBA THE GREAT

    ReplyDelete
  17. ni ka nu mbaaaa tu.

    ReplyDelete
  18. hapo ni kanumba mkali hao wengine hatuwajui huku ulaya inabidi wajitangaze kama kanumba.

    ReplyDelete
  19. Kanumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa juu ila apunguze aibu kama demu.

    ReplyDelete
  20. kanumba steven is the best of the best

    ReplyDelete
  21. i dont like AIBU zake mbele za watu kama Jinga but kanumba mkali bwana.

    ReplyDelete
  22. kanumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  23. Kwa watu wanaojua kuangalia viwango vya wasanii Single richie Yuko juu kuliko wote he is more proffessional bwana hao wengine ni wachekeshaji tu katika list uliyotoa.

    ReplyDelete
  24. hamna mkali hapo, wote washamba tu,wajifunze zaidi ili watoe vitu vya maana au la sivyo sinema zao zitaishia kuangaliwa na wakina mama wa uswahilini ambao ni kamwa wao tu. wote ni mbumbumbu lakini mbumbumbu zaidi ni ray kigosi anayejichubua kama bar maid. kanumba naona anajirekebisha taratibu, ambayo ni habari njema ila bado hajafika... inabidi akaze buti.

    ReplyDelete
  25. mmh,Ray umejipodoa kama binti!

    ReplyDelete
  26. Kanumba ni mkali akifwatiliwa na kigosi

    ReplyDelete
  27. richie ndo mpango mzima,huyo kanumba amezidi sana ku-copy na ku-paste

    ReplyDelete
  28. richie yupo juu hao wengine wanangoja(100%),Baba Haji nae wa ukweli (90%),Hemed nae yuko juu ila mashauzi yake yanamponza(85%),Dr Cheni anajitahidi(80%),Angeloo endelea kukaza utafika level nyingine(70%),KANUMBA KWA KU-COPY ANA 100% ILA NDANI YA SHINDANO NAMPA 50%,RAY NAWE CHUKUA 50%(RAY NA KANUMBA wametangulia kutoka kwenye hii industry ya filamu ndo mana majina yao yapo sana midomoni kwa wa2,ila hawapo kivile sana. NI HAYO TU

    ReplyDelete