Moja kati ya vitu anavyovipenda Irene Uwoya katika mwili wake ni tattoo zilizochorwa kwenye maziwa kifuani mwake ambazo zina alama ya nyayo za kitu kama paka ama chui.
Hapa zikiwa zinaonekana kwa karibu zaidi.
Kila mtu ana kitu anachokipenda katika mwili wake, je wewe unapenda nini kwenye mwili wako??
Hapa zikiwa zinaonekana kwa karibu zaidi.
Kila mtu ana kitu anachokipenda katika mwili wake, je wewe unapenda nini kwenye mwili wako??
Kama kuna watu wananivutia kwa upande wa waigizaji wanawake wa kwanza ni Irine na kwa wanaume ni Kanumba wanavaa uhalisia mi ningependa kuona movie tena ya Irine na Kanumba kwa kweli.Kila la kheri.
ReplyDeleteShe's hotttt na anasimama kama yeye huwezi jua ana act.
ReplyDeletehalafu Zamm mchokozi eti nasi tunapenda nini katika miili yetu, wengine tuvipendavyo havisemeki hapo. hahahahahahahah
Asante dada.
disminder.
zama nunua jeans nyingine na viatu pls.vile vya kijan sijui sea colour viatu vipumzike.na jeans ya bahama
ReplyDeleteAkirudia inakukera nini, tuonyeshe zako usizorudia rudiaa
ReplyDeleteHuyu irene tuambieni kama kaachika,kila siku yupo bongo mi nampenda siku nyingi lakini naheshimu ndoa kama kaachika nimtokee.
ReplyDeletemmmn kifua chenyewe flati angekuwa na mdodo angeuweka wazi nimjuavyo huyu, haya kifua chatembelewa na chui
ReplyDeleteumesha fika wakit na sis tuwe wabunifu..
ReplyDeletekwan hizo tatoo ni kama zile za EVE..
sasa dada Irine unaiga mwanzo mwishooooooooo.???????
sio mzuka hata kiduchu.
Kinachotakiwa kajipange upya.,,ndio uje tena.
i like this part real we have to feel free talking on what we like on our body, life and all...by my self i like ''MY HEAD''
ReplyDeleteuwoya katokea... hasa na hiyo cheni mguuni kushoto! mtoto mashalaah walahi...
ReplyDeletemmmmh,kwakweli m not hating lakini hizo tattoo siyo mzuka maana umeiga za eve... ungechora sehemu ya kiunoni irene ungependeza saana maana umebarikiwa sector hiyo... keep up the good work in the film industry mami.
ReplyDelete