Tuesday, April 6, 2010

BURIANI BABA

PASAKA YA MWAKA HUU NIMEISHEREHEKEA KATIKA HALI YA MAJONZI MAZITO KUFUATIA KIFO CHA BABA KILICHOTOKEA JUMAPILI NA MAZISHI KUFANYIKA JUMATATU JANA KWENYE MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR. PICHANI JENEZA LENYE MWILI WA BABA LIKITOLEWA NYUMBANI NA KUANZA SAFARI YAKE YA MWISHO KUELEKEA MSIKITI WA MTAMBANI NA KISHA MAKABURINI. NALIA NASIKITIKA KUBAKI MKIWA. HATA HIVYO KAZI YA MOLA HAINA MAKOSA. MOLA IWEKE ROHO YA MAREHEMU BABA MAHALA PEMA PEPONI - AMINA

28 comments:

  1. POLE SANA SIS ZAMARADI
    MUNGU AWAPE MOYO WA SUBRA KWA KUONDOKEWA NA MZEE
    M MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI AMIN,POLENI SANA
    From G Recordz Crew

    ReplyDelete
  2. pole sana my dear

    ReplyDelete
  3. pole zama kazi y amungu haina makosa nipo nawe ktk kipindi hiki kigumu...

    ReplyDelete
  4. inalillah waina illaih rajuun...pole sana ma dia

    ReplyDelete
  5. pole sana..im sure he will be missed.

    ReplyDelete
  6. Ya mamaangu majonzi yetu sote.Maana bora ya nyie mliobahatika hata kumzika kuliko sie tuliokuwa mbali huku ambao tumeishia kuzika kwa cm tuu. Pepo ndo kitu sie sote tunamuombea. Ila ndo hivyo kazi ya Mungu haina makosa. Bwana katoa, na bwana kachukua.

    ReplyDelete
  7. pole sana zamaradi
    mungu atakupa nguvu tu!
    MAMA TRACE

    ReplyDelete
  8. Pole Zamaradi, bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana limebarikiwe.

    ReplyDelete
  9. Pole sana Zamaradi mpenzi hata mi nilifiwa na baba najua ni pigo kubwa na nilichukua muda kulizoea. your fan ibrahim.

    ReplyDelete
  10. Pole saa Zama..Munu ailaze roho yake mahala pema peponi.

    ReplyDelete
  11. inna lillahi wa inna illahi rajiun... pole kwa familia yako yote.

    ReplyDelete
  12. pole sana zamaradi,uwe na subira katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na baba yetu mpendwa.sisi tulimpenda lkn mungu amempenda zaidi.

    ALIVYO TUTAKUA,TULIVYO ALIKUA.
    inna lilahhi waina illai rajiuun.
    mdau saudi.

    ReplyDelete
  13. Mwenyezi amrehemu dad yako na awape nguvu na imani ktk kipindi iki kigumu cha maombolezo,.Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

    ReplyDelete
  14. Baba claire a.k.a dickdadaApril 7, 2010 at 2:45 PM

    pole sana mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema na pemoni

    ReplyDelete
  15. pole dada kazi ya mungu,muenzi baba kwa kufanya yale mazuri aliyokua akikusisitizia.

    ReplyDelete
  16. Pole sana Zamaradi kama ulivyosema kazi ya mola haina makosa.

    ReplyDelete
  17. Pole sana Zamaradi kama ulivyosema kazi ya mola haina makosa.

    ReplyDelete
  18. Inallillah Waina Illah Rajiun..Pole dada yangu ni kazi ya Mungu haina makosa..kubwa ni kuwaombea dua wote waliotangulia Mungu awaweke mahali pema Peponi..Pamoja katika Maombelezo.

    ReplyDelete
  19. hey,pole zama mungu alimpenda zaidi ni kazi ya mungu haina makosa please stay strong kwa kipindi hiki kigumu kwako dont cry dats life baby let it go n let god deal with it,life goes on may god rest his soul in peace...Amen

    ReplyDelete
  20. Pole sana Zamaradi, Its so painful kumpoteza mzazi..
    Mungu akupe faraja wewe na mama

    ReplyDelete
  21. Pole sana Zamaradi.

    Mdau Finland

    ReplyDelete
  22. pole zamaradi ndugu kwa kufiwa katika dunia hiii hakun kiumbe ambacho hakita onja mauti,cc sote tuko ktk safari hiyooo ucuzunike sana kwani huko aliko yuko kwenye pumziko la milele mungu ailaze roho ya marehemu wote amina

    ReplyDelete
  23. Pole sana! Mungu akupe nguvu sasa na hata siku zote. RIP Mzee wetu!

    ReplyDelete
  24. Sisi sote ni wake MOLA nasi kwake tutarejea! Kwani yeye ametangulia nasi tutafatia. Mungu amlaze pahala pema peponi. Poleni sana!

    ReplyDelete
  25. POLE SANA ZAMARADI,MUNGU AKUTIE NGUVU WEWE NA FAMILIA YAKO.

    ReplyDelete
  26. ASANTENI SASA SANA kwa maneno yenu ya faraja kwangu.. nashkuru sana na MUNGU awabariki wote
    Tuko pamoja daima!!

    ReplyDelete
  27. INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN.Pole sana bidada....Ila napatwa na wasi wasi pale unapolalamika kwamba Pasaka hukuisherehekea....Presumably, you are a convinced muslim, so I dont think you should support Pasaka...THINK ABOUT EID ZOTE MBILI AS THESE ARE SPECIAL FOR TRUE MUSLIMS LIKE YOU...However, Mungu akupe nguvu inshaallah.Hans Megrah..megrah@lycos.com

    ReplyDelete