Thursday, April 15, 2010

KWANINI WASANII WETU NI VIGUMU KUWA ROLE MODELS???

Niljaribu kufanya interview na wasanii tofauti tofauti wachanga wa hapa Tanzania katika tasnia ya Filamu na kila mtu nilimuuliza kuhusiana na Role model wake kwa maana ya mtu anaemu-inspire, lakini cha kushangaza katika hao niliowahoji hakuna hata mmoja ambae alinitajia msanii wa TANZANIA kama role Model wake badala yake majibu yalikuwa watu kama DENZEL WASHINGTON, NICK CANON, MICHAEL SCOFIELD, INNI EDDO, ANGELO na wengineo.. ambao wote hawatoki Tanzania..

Unafikiri ni kwanini wasanii wetu wa Tanzania hawatajwi kama role models?? ina maana hatuna ma role models hapa kwetu Tanzania!? ama?

2 comments:

Anonymous said...

Wote utumbo tu, hakuna hata role models mi kiukweli waigizaji wa bongo wananikera sana utumbo mtupu ,hovyoooooooooo.

Anonymous said...

marole models wapo kutegemea na mapenzi ya mtu kwa mtu , wapo ambao wanainspire watu na tunawajua tangu walipotoka safari yao kisanaa kama kina johari mfano mzuri ni role model na mfano wa kuigwa.