Wednesday, May 12, 2010

UNATAKA KUJUA KUHUSU NANI????

Tell me...
Nakupa hiyo nafasi unataka kujua kuhusu STAR gani hapa Bongo...
Na si vibaya ukiniambia unataka kujua nini kuhusu yeye ili nikupe kitu roho inapenda...
I will do that for you ili tuweze kwenda sawa...
Hope tuko pamoja!!!

18 comments:

  1. NATAKA KUJUA KUHUSU KEISHA BOY FRIEND/MCHUMBA WAKE NI NANI?

    ReplyDelete
  2. Inawezekana nikawa nje ya unachokitaka wewe lakini nivumilie. Mimi napenda kukufahamu wewe juu ya haya yafuatayo. Endapo utaona nimetoka nje ya topic such that hujafurahia, nisamehe.

    1. Elimu yako (nitafurahi nikifahamu juu ya shule (majina))
    2. Umeolewa au bado
    3. Umeisha ishi wapi na wapi huko TZ, je nje ya nchi ushawai ishi

    Once again, kama nimetoka nje ya topic...sorry!

    ReplyDelete
  3. Napenda kujua historia kwaujumla ya mcheza filamu mkubwa wa bongo Yvonne Sherry Monalisa yampaka leo

    ReplyDelete
  4. nataka kujua kuhusu kanumba, nataka kujua elimu yake kwa ujumla

    ReplyDelete
  5. kwa upande wangu naomba umuoji WEMA SEPETU kwann waandishi wanapenda kumuandika ovyo kwenye magazeti kuna watu huku mitaani wanasema kwamba yeye mwenyewe anataka ili apate umaarufu je ni kweli

    ReplyDelete
  6. Joyce kiria. napenda kujua historia yake

    ReplyDelete
  7. Me naomba muhoji Vyonne Cherly-Monalisa,kama utaweza ukipata picha aliyopiga na watoto wake wote wawili au pamoja na mama yake Natasha itakuwa mzuka sana.Ana projects gani kwa sasa?!ni ngapi nyingine zinakuja?!.Ni mafanikio gani aliyo nayo?!kama ni gari nyumba ama ana nini so far?!me ningependa kupata vitu hivyo tu.The rest nakuachia wewe.Im number one fun of her.

    ReplyDelete
  8. Nataka kujua kuhusu Lady Jaydee na AY

    ReplyDelete
  9. plz muhoji kanumba kuhusu lini ataoa na ni msichana gani yuko nae kwa sasa?

    ReplyDelete
  10. MUHOJI KANUMBA KUHUSU AIBU ZAKE AKUTANAPO NA WATU HASAHASA MADEMU KWANINI BUWA HIVYO?

    ReplyDelete
  11. ALL abt miss Wolper,hasa asili yake, mcheza filamu wa tanzania.

    ReplyDelete
  12. nataka kujua Elimu ya jide

    ReplyDelete
  13. Mi nataka kujua kuhusi Nina yule wa kaole.nataka kujua yuko wapi,naendelea na sanaa ya kuigiza. Ni hayo tu.
    Erica

    ReplyDelete
  14. NATAKA KUJUA KUHUSU JOYCE KIRIA MKONGO JE NI KWELI AMEACHIKA???

    ReplyDelete
  15. mpz thanx kwa kutupa hii fursa nampenda sana lad jay dee nataka kujua elimu yake matarajio yake na swala zima la familia,in familly issue nataka kujua anataman kuwa na baby or not,coz its 5 yrs ya ndoa yao bt simuoni hata na ujauzito i wish watafute hata baby mmoja wa kumrithisha kipaji chake najua kupitia husband wake Gardner tutapata majibu soon,than a lt

    ReplyDelete
  16. nataka kujua kuhusu lady jay dee

    ReplyDelete