Me nashangazwa sana na hw wanaume zetu, ss hapo ugumu uko wapi ina mana kama mama anaumwa hawezi kubeba ht mtt so na ww utamwacha mtt andelee kulia, mbna nyie nyie mlibebwa iweje mshindwe kubeba wtt wenu? Ney D.
i wish wanaume wote wa kitanzania wangejua maana ya kusaidiana. inaleta maana zaidi na inanogesha mapenzi...... lakini hapa kwetu mama mkwe, majirani na mawifi hawakawii kuzushia limbwata
Naweza ila bila mtoto mgongoni...........by the way, huyu mkaka ni houseboy au mume wa mwenye nyumba?
ReplyDeleteafadhali mwaya umeweka kitu mana binadamu hata ufanyaje hawana jema,thanx kwa update
ReplyDeletenimeipenda hiiii, bali si dhani km ni mtanzania unajua wanaume wa kitanzania wajeuri sana kwenye maswala ya kusaidiana kazi
ReplyDeleteMe nashangazwa sana na hw wanaume zetu, ss hapo ugumu uko wapi ina mana kama mama anaumwa hawezi kubeba ht mtt so na ww utamwacha mtt andelee kulia, mbna nyie nyie mlibebwa iweje mshindwe kubeba wtt wenu? Ney D.
ReplyDeletei wish wanaume wote wa kitanzania wangejua maana ya kusaidiana. inaleta maana zaidi na inanogesha mapenzi...... lakini hapa kwetu mama mkwe, majirani na mawifi hawakawii kuzushia limbwata
ReplyDeleteukifanya hivi; mwanamke ni wa kwanza kuwatangazia wenzie kwamba jamaa ni bwege.
ReplyDelete