Jana ilikuwa ni uzinduzi wa kipindi changu kinachohusiana na mambo ya filamu cha hapa CLOUDS TV kitakachorushwa kila siku ya JUMANNE saa tatu usiku, hapo ni mimi ZAMARADI MKETEMA nikiwa na EPHRAIM KIBONDE akiniuliza machache kuhusiana na kipindi.
Nikiwa na BEN KINYAIYANikiwa na YVONE CHERRYL (MONALISA)
Bosi wangu RUGE MUTAHABA kushoto akiwa na EPHRAIM KIBONDE
Kutoka kushoto SHAFII DAUDA, ZAMARADI MKETEMA pamoja na PAUL JAMES ambao wanaendesha kipindi cha michezo ndani ya CLOUDS TV.Hapa mzozo ilikuwa ni viwanja vya MKURANGA, baadhi ya wasanii wakijadili jambo hilo hapo kuna SINGLE MTAMBALIKE(RICHIE), NOVA pamoja na baadhi ya wasanii wengine
WAKUVANGA akiwa na MR. MWAULANGA!!!SHUKRANI SANA KWA WOTE TULIOWEZA KUWA PAMOJA SIKU YA JANA NA HATA KWA WALE AMBAO HATUKUWA PAMOJA LAKINI TUKAWEZA KUSHIRIKIANA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE, WALIOWEZA KUTAZAMA KIPINDI NA WALE WOTE WALIONISUPPORT KWA NJIA MOJA AMA NYINGINE, ASANTENI SANA SANA.. MUCH LOVE & RESPECT!!
TUKO PAMOJA!!!























Baada ya kazi.. wanakula pozi kidogo














