Filamu inaitwa WHY DID I LOVE? na ni filamu ya rose ndauka ambapo wahusika ni hao kama unavyowaona kwenye cover... na huo ni muonekano wa Poster baada ya upigwaji picha kukamilika.
Hii ndio cover ya filamu kama inavyoonekana kwa mbele na nyuma... Hii ni filamu ya rose ndauka na inatarajiwa kuingia sokoni muda si mrefu!!!
Wanaume kazini....
Hii ndio cover ya filamu kama inavyoonekana kwa mbele na nyuma... Hii ni filamu ya rose ndauka na inatarajiwa kuingia sokoni muda si mrefu!!!
Wanaume kazini....
LETE MZIGO... NAMUAMINIA SANA DADA HUYU & I LOVE HER SO MUCH.
ReplyDeleteMs. Sophy
ReplyDeleteNamopenda sana dada huyu naomba akaze buti na Mungu atamsaidia.
Amen.
nimeipenda blog yako. Sasa nimefahamu nitakuwa nazuru wapi kupata habari za uhakika.
ReplyDeleteKazi nzuri sana dada. Karibu pia jamvini kwangu.
big up
ReplyDeleterose ndauka ana mvuto jamani.na siku hizi anajitahidi sana kuigiza,tofauti na filam yake ya kwanza ali act na richie,kipindi kile kama,alikuwa na aibu aibu
ReplyDeleteNawapongeza wasanii wa filamu wa Tanzania kwa juhudi zao katika fani hiyo.Jambo pekee linaloniudhi ni tabia waliyonayo ya kuzipa filamu za kitanzania majina yaliyo katika lugha ya kiingereza. Matumaini yangu ni kuwa tunatangaza utamaduni wa Mtanzania hivyo lugha ya Kiswahili inapaswa kutumika zaidi na si vinginevyo. Hiyo lugha ya kiingereza itumike kufafanua tu. Ni vema wasanii wakafanya juhudi kuienzi lugha yetu ya Kiswahili kwa kuitumia ipasavyo katika filamu zao.
ReplyDeleteyusuf mlela amenenepa uso sasa amefanan na wale jamaa wa australia (aborigins) lol.
ReplyDelete