Kutoka kushoto ni JACKLINE PENTZEL, WEMA SEPETU pamoja na ROSE NDAUKA kwa pamoja wanaunda kundi linaloitwa JAROWE ambapo wana malengo mengi sana kwenye Industry ya Filamu BONGO.. kwasasa hivi wamekuja na filamu yao mpya kabisa inayoitwa THE DIARY kama cover yake inavyoonekana hapo juu.. UNAIONAJE COVER...!!???
COVER ya PART 1 kama inavyoonekana kwa mbele na nyuma
Huu ni muonekano wa Cover ya PART TWO... THE DIARY coming soon kutoka JAROWE ambapo ni kifupi cha JACKY,WEMA na ROSE..
COVER ya PART 1 kama inavyoonekana kwa mbele na nyuma
Huu ni muonekano wa Cover ya PART TWO... THE DIARY coming soon kutoka JAROWE ambapo ni kifupi cha JACKY,WEMA na ROSE..
STAY TUNED!!!!
this is wat we want sio unakaa na habari wiki mbili unafanya radio ya watu matikio kila siku pale lakini umezubaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteHawa wadada kwakweli akiwa serious na hili kundi lao watafika mbali yani gumzo la mji nawaombea sn mana majungu yakianza tu hawatachukua mda. cover imetulia mnoooooooooo walai big up sn mtoto wema apunguze mapepe tu ila mfuniko hasa
OMG ilove the cover,,,as in the color is so appealing...my wema looking good.....i wish nothn bt the best for yu,,,,,xxxxunrene
ReplyDeletewanaonekana wamekuja kivingine hawa wadada wajitahidi wanaweza nyanyua movie industry in tz
ReplyDeleteinaonekana itakuwa movie kali .
hope itakuwa kali the way m thinking mana movie za bongo ukiona cover unaweza sema duu hii movie ni kali kuichek kumbe hamna lolote ni cover tu
Ni nzuri tu kwa kweli na wamependeza ila zama jitahidi kuwa up to date unachelewa kuweka habari zako
ReplyDeleteRangi na mapozi ni nzuri sana na wamependeza sana lakini still in dilema kwani the cover should always try to covey what is inside!!! I know it should be grand and cloud but it should carry the meaning of what to be potrayed. For this i don't even have a slightest clue. Guys we need to work hard!! its not a potrait that matter but the massage!!! so what does it try to convey??
ReplyDeleteKi ukweli cover imetulia ile mbaya,nawashauri wasisikilize maneno ya wakosaji washikamane hivyohivyo mambo yataenda sawa.nimependa idea yao nzuri wamekuja kivingine naweza kuwaita MAPACHA WATATU.
ReplyDeleteAmina Zangira
cover zuri sana,ila kwa upande mwengine naona wema kama hajui ku act,maana sauti yake inakuwa kama ya kitoto sana.rose ndauka ame improve sana tu, yupo juu na jaki nae anajitahidi.wema ajaribu sauti kuikazanisha
ReplyDeleteSEXY SMART N GORGEOUS
ReplyDeletecover lukin gud, colour s nice, wawe tu serious na kazi sio leo wameunda kundi then after short time limekufa. love u wema keep it up baby
ReplyDeleteMuonenekano wa cover ni mzuri sana unavutia but na move iwe hivyo2 nzuri kama hyo cover pliz, syo manjonjo tu. By the way nimependa hyo sana. Na huwa nampenda sana ROSE NDAUKA!!
ReplyDeletewoooooow niiiice colors.....wamendeza saaana i hope watfika mbal..mafahali wawil hawakai zizi moja sa cjui wa3 itakuaje..........ol the best warembo
ReplyDeleteSwala la sauti ya Wema kwakweli itabidi wapenzi walikubali juu ndivo ilivo kwa mara ya kwanza mmmh lazima ushange na utaisi anajifanyisha ila thats the she talks. kwakweli mi sio fun wake kiiiivo ila namtetea mana hata mie ilinikwaza 1st tym
ReplyDeleteWOW THAT'S WONDERFUL, I LKE THE BLUE AND RED COLOUR UTAFKIRI LILE TANGAZO LA UJIO MPYA WA DASPARATE HOUSEWIFE MKO JUU SANA. HOPE NA MUVI NI KALI.
ReplyDeletehata kama ni sauti yake,ila inategemea unacheza character gani.lakini yeye character yoyote ile,sauti ni hiyo hiyo.haipendezi.ni ya kiutoto sana.kama anataka kufika mbali,akubali kukosolewa.na achukulie in a positive way.mfano kim kardashian,sauti yake ni ya ki utoto,ila alipo act kwenye CSI sauti ilikuwa tofauti kabisa,bila shaka director alimuelewesha
ReplyDeleteZama nimependa sana nguo zao kuna harusi tunatakiwa tuvae blue........
ReplyDeleteNaomba niulize hizo nguo zao wamenunulia wapi?
Niko serious zama
DU NAONA YA KWELI,WAMEPENDEZA SANA NA WOTE NI MASTAA WANAOELEWA KAZI ZAO. ILA KUIMARIKA KWA KUNDI LAO KUNAHITAJI KUWEPO NA UANGALIFU .WAKIWA KATIKA KAZI WAZUNGUMZIE KAZI TU.NAMI NAWAOMBEA MAFANIKIO SANA
ReplyDeletecover ya ukweli,sijui story ikoje,nachoweza kusema ,tunataka tofauti, pia maadili yazingatiwe, filamu zinaangaliwa mpaka na watoto. basi angalau wafate nyayo kama za kwenye THW DIARY OF TIRED BLACK WOMAN. SALT,nk.
ReplyDeletehilo cover muonekano wameiga cover ya desperate wifes season 4 ..! wabongo kwa copy paste hatari
ReplyDeleteSijui kama watadumu kwa muda mrefu maana makundi ya siku hizi,mhh! kila la kheri kwao.Cover liko pouwa,but isiwe ile ya cover zuri Movie mbovu,maana uzuri wa cover sio maana kuwa kitabu kina utamu ndani kwani vitabu vyenye cover zisizo vutia ndo vinaongoza kuwa na hadithi nzuri.example, AFIRA OLELA.Ni hayo tu.Stay REDS and be a good KOPIAN.NEVER WALK ALONE
ReplyDeletei do appreciate the cover,so good i like when girls made good things like this big up
ReplyDeleteWAMEDESA DESPARATE HOUSE WIVES.ANYWAY WAMEPENDEZA SANA
ReplyDeleteKwa kweli wamependeza sana,Nimependa sana mwonekano wao na mavazi kwa ujumla,Hata kama wamedesa ni kwa uzuri kwa kweli.Ila jambo moja tu,Kama kazi basi iwe kazi kweli,Majungu,umbea,usaliti wenyewe kwa wenyewe usiwepo mara nyingi wanawake tukiwa sehemu moja tunakuwa na matatizo.Wapendane kama dada na ndugu watafanya kazi,Pasiwe na aliye juu sana wala chini sana wawe sawa watafurahia matunda ya kazi zao.
ReplyDelete