Hii ilikuwa ni siku ya jumamosi pale SAVANNAH LOUNGE Quality plaza ambapo kulikuwa na birthday party ya sintah kama unavyomuona hapo akizima mishumaa kadhaa iliyowekwa kwa ajili yake..
Niliipenda hii Cake kwakweli, ilikuwa ya ukweli sana.. the colour, the decoration, and even the taste.. was soo sweet!!!
Kutoka kushoto Zamaradi, Birthday girl Sintah pamoja na Millard Ayo..
Nikiwa na Sauda Mwilima ambae ndie alikuwa MC wa shughuli nzima.,.
Mimi nikiwa na Birthday girl hapo..
Niliipenda hii Cake kwakweli, ilikuwa ya ukweli sana.. the colour, the decoration, and even the taste.. was soo sweet!!!
Kutoka kushoto Zamaradi, Birthday girl Sintah pamoja na Millard Ayo..
Nikiwa na Sauda Mwilima ambae ndie alikuwa MC wa shughuli nzima.,.
Mimi nikiwa na Birthday girl hapo..
Hapa hata hatujajipanga kwa picha jamani..
haya sasa camera roll.. Action.. saafi.. hapo nikiwa na Aunt Ezekiel ambapo mchana wake tulikuwa kwenye Audition pale Leaders kwenye serengeti Fiesta Filamu!!
Penny akiwa na Aunt Ezekiel
Pozi..
wadau wengi walikuwepo, hapo nikiwa na Sajent
Pozi..
wadau wengi walikuwepo, hapo nikiwa na Sajent
Hii picha pamoja na baadhi ya nyingine unazoziona humu nimechukua kwenye Blog ya shamim zeze maana camera yangu siku hiyo ilifanya kazi sana kwenye serengeti fiesta filamu DAR mchana wake kiasi kwamba mpaka kufika muda huo Charge ilikuwa imeisha kabisa hivyo ikabidi nitumie simu tu kupigia picha, so kama quality ya picha nyingine sio nzuri mtanisamehe..
Belina kama unavyomuona..
Shamim akiwa na Sintah
mwambieni sauda hajapendeza huo uso unatisha,kajichubua au kajichuna????
ReplyDeletezama ivo viatu vyako na kipochi basi sasa man utawekwa alama
ReplyDeletejamani zamaradi ndio nini kumuweka mwenzio hiyo picha na mapouda kama jini! MC wa shughuli kiboko kwa kweli, umetishaaaaaaaaaa
ReplyDeleteHongera Sinta,
ReplyDeleteMhh jamni sijawah kumuona Sauda Mwilima akiwa kapendeza. Huyu dada anashida gani?? kha! na huo mkorogo haoni aibuu anavyotisha?
Zamaradi muwe mnamwambia kuwa kachekesha, labda siku nyingine atajitahid, mwe!
Wadau sauda make uos hajuagi kupaka yani km anajimiminia huo usoni kuvaa ndo mshamba haifai jamani hivi huyu kabila gani????? mana sio mara moja moja ni karibu kila siku anachemka. Zama narudia tena ivo viatu na kipochi YATOSHA SASA km huna vingine
ReplyDeletesauda kwako huna kiooo hiyo mijipoouwda cjui faundatioon lol naona kikopo kilikwishaaa.
ReplyDeleteMh jaman sauda no no no the make-up is horrible at nguo...honestly, sauda nimemuona kwenye picz nyingi ata live pia hajawahi pendeza kuanzia make-up hadi clothes!Girl u surely need a stylist!!Hope ujumbe utamfikia
ReplyDeletehahaha..Sauda Mwilima kwani nyumbani kwake hakuna kioo au umeme unamkatikiaga akiwa anapaka make up..mbona hivi..??hahahaha
ReplyDeleteJust a small comment regarding make-up one day i guess you should talk about makeup that pple wear dont match at all with their skin tone this needs more attention...
ReplyDeleteThx and stay blessed!!
jamani hebu mwambieni huyo mc anatisha khaa mkorogo wa nini hawaoni ngozi yako ilivyo na afya?ukiangalia hapo wengi weupe wanajikoroga
ReplyDeletehuyo sauda kazidisha podari yaani kawa kama mzuka,kwani hakuwa na kioo jaman au mtu wakumshauri???mweee amechusha vibaya sana
ReplyDeleteaagriiiiiiiiiiii MC ametisha,yaani mtoto wangu akilia nitamwosha hii picha,lazima anyamaze bila kupenda coz hii picha inatisha.
ReplyDeleteMmmmh sauda next tym uombea ushauri kwa shoga yako mai kabla hujatoka coz hiyo podari imezidi mno.
Jamani Sinta mzuri hachuji
ReplyDeleteYaani huyu sauda mwilima kama jini nani kamwambia akijicream hivyo anapendeza..................
Anatia kinyaa jamani
Hata huyo mwanaume wake atakuwa mswahili, mwanaume gani anakubali mtu anakuwa kama shetani
Kiukweli zama hujapendeza umechemka
jamani hizo picha za sauda mbona sio nzuri au ndo vipodozi vimamharibu hivyooooo?
ReplyDeleteZamaradi ww ni mzuri tena unapendeza sana na natural colour yako,pamoja na aunt ezekielanila hao wengine jamani mikorogo inawatisha yaani kama sauda ni mbayaaaa sana huyo dada sijui hajioni,yaani bora angekua anavaaga nguo ndefu,mshaurini jamani
ReplyDeletewadada nguo hizo ni fupi mno, yaani bado kukaa uchi tu. jiheshimuni kidogo mnakuwa kama mmeenda kujiuza. bora hata zama kajistiri loo! hamjapendeza.
ReplyDeletesauda hajuagi kuvaa na make-up kwa ujumla
ReplyDeletemlikuwa mnajiuza au ni birthday? mbona mapaja njenje? jiheshimuni kidogo jamani khaa! bora zama kajistiri.
ReplyDeletevinguo gani hivyo. acheni mambo ya kipumbavu, mlikwenda savanna kujiuza.
ReplyDeletezamaradi umezoeleka mno na hiyo style kha" hebu tushangaze kigogo. sauda sauda sauda uhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
ReplyDeleteKama Mnampenda sana sauda kwenye shughuli zenu aje msiwe mnampiga picha basi, maana mnamzalilisha hua apendezi na sijawai kumuona kapendeza.au mnamfurahia hua anawachekesha kwa uvaaji wake kama joti anaigiza.
ReplyDeleteyah zamaradi badili style sasa you look the same kila siku hot pants kama opa hujapendeza kabisa
ReplyDeleteWe unaesema vinguo vifupi wanajiuza! nataka nikujibu kuwa ndio wanajiuza na wanamuuzia mumeooo kila kukicha anachachawa na hivyo vimini vyaooo ...upo hapo!? watu wasivae nguo fupi wapendeze mdomojuuu tuuu waache wadada wawatu wanaenda na wakati.... katafute kabichi uchemshe ule ulale kama huna kazi...... Msonyooooooooooo
ReplyDeleteNa wewe sauda hivi kwako hauna kioo cha kujitazama kama uko sawa? ni mambo gani unayofanya...yaani kila iventi unatisha na mamakeup na mavazi jijali wewe ni celebrity tunaitaji kujifunza mambo mengi toka kwako mzxcsziiiiiiiiiu
si mchezo sauda kaa chini utulie na uombe ushauri kuanzia mavazi hadi uso .pia kama unamtoko bora uende saloon wakufanyie makeup maana hujui kujiremba. yaani kila mtu amekusema wewe tu huoni kama ni tatizo?pls try 2 change
ReplyDeletehuyo sauda ni mbishi mwacheni azidi kutisha hivo hivo. mi ana niudhi kama nini analeta mambo yake ya kishamba.
ReplyDeletemmhuu!mie cna neno washasema wadau,yafanyie kazi sau
ReplyDeletehahahahhahaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteMimi sijawahi kumuona sauda amependeza labda macho yangu yana makengeza hata akiwa anatangaza hicho kipindi chake cha bongo beat yuko hivyo hivyo bora liende, huo mkologo hana tofauti na albino wewe ukienda kwenu sumbawanga lazima uchunwe ngozi, kwani sauda ukifuata ushauri wa watu kuna tatizo gani
ReplyDeleteSauda utadhani umevaa mask usoni. Yaani hata mume wangu uwa anakushangaa akikuona kwenye TV anasema huyu dada amekaa kishamba. Change mamito sidhani kama wewe ni mshamba ila hutaki kujifunza.
ReplyDeleteyaani huyo sauda hajui make up hajui umbo lake linapendeza akivaa nguo gani!khsu mkorogo c mnawaona shoga zke didah wa mchops na maimartha?labda hataki kuacha kumpa support shoga yake (mai)si ndio muuza mikorogo?yaani anatisha km kinyago chakutishia watoto khaaa mshamba kila siku hapendezi ushoga gani huo hata hawaambiani ukweli jamani lkn
ReplyDeletehuyo sauda ngozi zote kazimaliza kwa kujichuna weupe sio uzuri zama huyo hapo ana rangi nzuriii kakaaa kama malaya mcafu au shangingi vile looo
ReplyDeleteJamani sinta nae ninini?alikuwaga mzuri sasa sijui nani kamdanganya weupe ndio uzuri.kha
ReplyDeleteJamani mineno mingii....sauda hapendi kupendeza sasa mbona mnamlazimisha??!!!mwacheniii
ReplyDeleteMdogo wangu Zamaradi jamani chonde naomba usije ukabadilisha rangi ya ngozi yako, ni nzuri na inavutia sana. Hivi hawa wasichana wa siku hizi nani kawaambia weupe ndio uzuri??? Naona hapa nyote mnamsema Sauda je huyo Sinta? Sinta alikuwa na rangi nzuri sana, kama sijakosea rangi yake ilikuwa sawa na Zamaradi ulivyo sasa, mnakumbuka ile video aliyoimba na mwanamuziki wa Msondo, Wimbo unaitwa Safari. Sinta ile rangi yako maji ya kunde ilikuwa ni nzuri sana, mie naona hii rangi uliyonayo sasa sio nzuri hata kidogo.
ReplyDeleteKwa maoni yangu mimi, (1)kujichubua ngozi ni dhambi. Tuachane na kasumba hiyo ambayo inatudhalilisha na ambayo ni hatari kwa afya. (2) Kuonyesha mapaja hadharani pia ni kujidhalilisha kwa kuwa kaka, baba, wajomba au wakwe zenu wanaweza kuziona hizi picha. Jisitirini jamani. Kama ni uzungu tuige mazuri kutoka Ulaya kama vile uchapakazi, kuheshimu sheria, kuheshimu muda na wakati, usafi wa mazingira na mengine mengi mazuri lakini sio kuwaiga wahuni.
ReplyDeletehonestly SAUDA NA SAJENT mmeharibika na hizo chemicals mnazotumia, yaani mngejua athari zake msingetumia, hiyo ni mecury inapenya kwenye damu inaua chembe chembe nyekundu pamoja na kinga zote za mwili matokeo yake unakuwa kama walivyo hao kwasasa kiukweli mnahatari ya kuumwa FIGO, INI, KISUKARI,CANCER YA NGOZI KWA 100% na mtu anaetumia vipodozi vya aina hiyo mwili wake cku zote huwa dhaifu dhaifu ni kama karatasi, na asiombe akapata ajali akachanika ndio basi tena kwakuwa hataweza kushonwa. hebu badilikeni na mumtukuze MUNGU kwa ngozi aliyowapa. sisi weusi Mungu ametupendelea ametupa ngozi ambayo inazuia magonjwa hata upigwe na jua huwezi kuungua.lakini sauda anatamani jua lisingekuwepo kwake ni kero. badilika la sivyo baada ya miaka mitano kama unaendelea hivi utakuwa ugonjwa mmoja wapo kati ya hayo nilioyataja. MTANZANIA HALISI
ReplyDeleteanti ezekiel nakuaminia sana ktka suala zima la kuvaa na make up ila leo ktk makeup umeniangusha, hiyo eye shedow yako ni ya kichina imesambaa vbaya vbaya. iache. zama unapendeza sana ila mitumba ulitupia leo looh grade "0" Haujapendeza kwaleo wewe na anti mmeniangusha. natumain next time mtakuwa vzuri. sauda huyo tumuache yeye mwenyewe amejichoka maskini, sura kama karatasi hata duniani hayupo ahera hayupo yaani ana hang tu hahaaaaa.hivi ana boyfriend? yaani kama ndio kaka yangu ananiletea sauda ndio wifi uwiiiii nitamtimuaje, kama kinyago.mwambieni jamani hapendezi hata.
ReplyDeleteDina mbona Aunt Ezekiel amekaa katika POZI ya tigo?
ReplyDeleteSauda kabla hujaanza kujichubua ulikuwa msichana mzuri sana. Sasa nani kakudanganya mpaka ukaanza kujiharibu? Hebu jaribu kurudi ulivyokuwa mwanzo uone tofauti iliyoko.
ReplyDeletewas nyc but mh huyo mwanadada sauda cjamuelewa uson ndo nn du bad yan aache hayo mambo too much mek up................shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
ReplyDeleteHonestly tokea nianze kumuona sauda sijawahi kumuona kapendeza nadhani mwili wake haukubali mavazi labda abadilishe aanze kuvaa vitenge....yahi siku zote anaonekana as if kaja jana mjini she never change...sasa that sura ndio usiseme maana uso na shingo rangi mbili tofauti utafikiri zile dawa za rangi mbili...usista duu doest suit you sauda lol
ReplyDeleteNi kweli kuwa miaka 6 au 7 iliyopita Sauda alikuwa mzuri sana - kwa wale tuliomjua enzi hizo - lakini hii miaka mitano ya karibuni amebadilika sana. Naamini uchubuaji ngozi aua mkorogo kwa jina lingine umemwathiri. Kila binadamu lazima aikubali na kujivunia rangi aliyopewa na Muumba wetu na tukijitazama tuseme AlhamduliLlahi au Aleluyah au ashee engai. Mr Mmasai.
ReplyDeleteSAUDA ANAJISHAUAGA ILA HANA NYOTA YA USTAAAA MUONE KAJICHUBUA KM MBALAMWEZI OVYOO SURA YENYEWE MBAYA AMAKWELI KM NA WEWE UNAMWANAUME ANAFATA TU HICHO KINANII ILA UNATIA KINYAAA
ReplyDeleteSwali: Hiyo picha ya mwisho inaashiria nini? Jibu: Fashion mapaja au mtindo nusu uchi, ha ha ha ha ha ..........
ReplyDeletehUYO SAUDA MKULIMA YUKO KAMA JINI MAHABA, SURA YENYEWE NZITO KAMA YANGU MIGUU NAYO MMMMMMHHHHH NA HIZO HIPS ZA MIKONO BALAAA TUPU, SAUDA HUPENDEZI HATA KIDOGO HATA UFANYEJE BORA UNGEBAKI NA RANGI YAKO, LABDA HAYO MASHAVU YASINGE ONEKANA
ReplyDeleteMdau wa 4:43 PM, Picha ya mwisho inaashiria mashindano ya "Miss Mapaja Mabaya 2011". Na hiyo ngoma wanayocheza inaitwa "Anika mapaja".
ReplyDelete