Acha tu niwe mkweli jamani, huyo sio mtoto wangu mimi bado nipo nipo kwanza, huyo ni mtoto wa jirani yangu sema kanizoea sana, anaitwa malcom.. So kwa wale walioelewa tofauti am sorry jamani msije mkaona nimewawekea habari ya uongo.. sina mtoto huyo ni wa rafiki yangu.. Pamoja.
yani alivyokupendeza!afadhali angekuwa wakwako ila kama vp ongea na mama yake akupe wewe huyo mtoto awe wako,yuko poa sana atawatesa mabint zetu hapo baadae.
Heeh kumbe Zama una mtoto hongera zako
ReplyDeleteHee I didnt know kuwa una baby.... congratulations
ReplyDeletecongrats zamaradi
ReplyDeleteanaitwa nani
ReplyDeleteAcha tu niwe mkweli jamani, huyo sio mtoto wangu mimi bado nipo nipo kwanza, huyo ni mtoto wa jirani yangu sema kanizoea sana, anaitwa malcom.. So kwa wale walioelewa tofauti am sorry jamani msije mkaona nimewawekea habari ya uongo.. sina mtoto huyo ni wa rafiki yangu.. Pamoja.
ReplyDeleteyani alivyokupendeza!afadhali angekuwa wakwako ila kama vp ongea na mama yake akupe wewe huyo mtoto awe wako,yuko poa sana atawatesa mabint zetu hapo baadae.
ReplyDeleteyou wish
ReplyDeleteI wish u zama kwani katoto kamekupendeza
ReplyDeleteZAMA UMENUNU A AU NDIO USHAIBA KAMA WAKO HONGERA SAXA C*
ReplyDeleteHEY WAKWAKO KWELI UYO
ReplyDelete