Tuesday, July 19, 2011

AISHA MADINDA AIKIMBIA TWANGA PEPETA NA KUHAMIA EXTRA BONGO..

Katika kile ambacho hakikutegemewa na wengi, mnenguaji wa siku nyingi sana ambae alikuwa akiifanyia kazi Twanga Pepeta Aisha Mbegu maarufu kama Aisha madinda ameihama rasmi Bendi hiyo ya The African Stars Twanga Pepeta na kukimbilia Extra Bongo ambayo iko chini ya Mzee wa Farasi ally choki..
Akitambulishwa rasmi kama mwana Extra Bongo..
sababu kubwa aliyoitoa Aisha alisema ni kutokana na safu ya wacheza show wa Extra Bongo ambao wengi wao amewazoea na amefanya nao kazi siku nyingi sana hivyo kukutana nao tena huku kutamfanya awe comfortable zaidi na kazi yake..




Kabla ya Aisha kuhamia Extra Bongo akitokea Twanga, tayari Extra Bongo ilikuwa imekwishanyakua wanenguaji wengi kwa mpigo kutoka Twanga akiwemo kinara nyamwela, Super danger, otilia pamoja na wengineo hivyo huenda hao ndio aliomaanisha aisha madinda kwamba ndio watu aliowazoea!!

12 comments:

  1. Hiyo sura yake mbona imechoka sana? kama mzee mambo ya mkorogo hayo..

    ReplyDelete
  2. Hiyo sura yake mbona imechoka sana? kama mzee mambo ya mkorogo hayo..

    ReplyDelete
  3. hasemi ukweli tu sura imeporomoka kwa midawa ya kulevya hajihurumii na afya yake.

    ReplyDelete
  4. Cjashtushwa na yeye kuhama juu hiyo ni kawaida yao. mie huo uso jamani lol ni mkorogo au utuuzima????????

    ReplyDelete
  5. aisha ushakwisha tena dah!!!!
    acheni mkorogo wanawake mtajutia sana uso kama wa bibi kizeee.

    ReplyDelete
  6. Huyu kalinya twangwa, kamkorofisha mkurugezi wa Aset alikuwa akimsaidia matibabu ili aache unga, angalia alivyoharibika sura maskini, Ali choki wachukuwa makombo tu keshaisha habari yake huyoooooooooo.

    ReplyDelete
  7. Soma kuhusu mikorogo
    http://semasikika.blogspot.com

    ReplyDelete
  8. Acha mkorogo hasa ukizingatia kuwa mkorogo ni hatari sana kwa afya yako.

    ReplyDelete
  9. Wewe nawe, si creative hata kidogo. Iga kwa Dina. Kazikuweka habari zilizopitwa na wakati tu.

    ReplyDelete
  10. sasa wewe umefata nini humu, si uende kwa dina eti iga kwa dina, kwanini wewe usiende huko kwa dina, mwanga mkubwa wewe tena hujaitwa humu kinachokuleta nini pumbavu zako kama wewe huburudiki sisi kwetu sana tu eti dina huyo dina ana nini cha maana, muone kwanza hovyoooooooooooooooooooo.

    ReplyDelete
  11. Huna lolote hutaki ushauri, update habari kila siku habari hiyo hiyo anaekukosoa anakupenda usipende kusifiwa kila siku

    ReplyDelete
  12. Zama ahsante kwa kutuhabarisha. Usiwasikize wajinga wachache weny kukulaumu, wengi wetu tunakupenda sana. Kuhusu Huyu Aisha naona mkoroga umemkoroga vibaya sana.

    ReplyDelete