Friday, July 22, 2011

IJUMAA KARIM...

kwa wale wapenzi woote wa blog hii, nawatakia Ijumaa njema..

NAWAPENDA WOTE

9 comments:

Anonymous said...

dah Ijumaa karim Zamaradi, i am deep deep in ... na wewe mdada.

Anonymous said...

umetoka bomba ile mbayaaaaaa

Anonymous said...

mdau wa kwanza,si umalizie tu,you are in love with zama

Anonymous said...

haya ni maneno ya kanumba kwenye blog yake, connecting dot : Hii scene hata ujifanye eti ooh sitazamagi movie za kibongo....utatizama tu hata kwa siri chumbani kwako,mdomoni utakataa ila rohoni utakubali maana ndio asili yetu,....Sokoni mwezi ujaoooooo

Anonymous said...

ZAMA NININI?????
MBONA HATUONI VITU?????/
NA WEWE UNATAKA UTUKANWE KAMA DINA MARIOUS EEEHHHH WEKA VITU BWANA TUMAKUPENDAAAAAA.

Anonymous said...

asante mdau wa tatu, yes i am tena sooooooooooooooo much,bac tu

Anonymous said...

Zamaradi umevunja rekodi kwa kudos umaarufu. Inferiority complex inakusumbua. Pia lack of exposure na shule. Nenda shule kadadaa. Umri bado unao, kisha indigo uanze kikofia kazi za watu. Sijui kwa nn clouds wanapenda cheap labour. Maama hakuna mtangazji alieenda shule ya uandishi.

Anonymous said...

Zamaradi umependeza. Nitakutafuta kwa lengo serious na si kwa kukupotezea wakati wako.

Anonymous said...

Anonymous wa 8:10 AM, Sikubaliani na wewe hata kidogo kwa kuwa (1) Clouds do not go for cheap labour, get your facts right: Clouds pay their staff better than almost all their competitors (2) Mbona hizo stations zenye watangazaji walio"eenda shule ya uandishi" haina wasikizaji wengi kama Clouds??? (3)Wahenga wanasema kuwa anyetaka kukutukana hachagui tusi. Wewe ni wazi humjui Zamaradi kwa hivyo wacha kujaribu kutuzuga kwa hiyo psychology yako uchwara (lol)(4) Wewe kama humpendi mtu kwa sababu moja au nyingine bora uwe mkweli tu badala ya kujaribu kujenga "hoja" zisizo na kichwa wala miguu. "Haters are losers"(5) Swali: Kwa nini unazuru blogspot ya mtu unayedai ETI ana inferiority complex? Au wewe ni masochist nini (lol)? Sisi tunampenda sana Zamaradi na tunaipenda sana Clouds, waliochukia shauri lao.