Friday, August 19, 2011

NI MZEE GANI ANAEKUVUTIA KWENYE FILAMU kati ya MZEE CHILO, MZEE KAMBI na MZEE MAGALI!!??? NANI MKALI!!!????

HASHIM KAMBI a.k.a MZEE KAMBI!!!
CHARLES MAGALI a.k.a MZEE MAGALI!!!
AHMED ULOTU a.k.a MZEE CHILO
Kati ya hao wote hapo juu kwa upande wako nani anakuvutia zaidi kiuigizaji!!??? na kitu gani kinakuvutia kwake katika uigizaji wake!!??
Ama kwa kifupi NANI MKALI!!?????

80 comments:

  1. kusema kweli mzee magari ananivutia kila ninapoangalia movie zake anajua kucheza na uhusika halisi na anaopewa anajua kucheza characters tofauti mchawi, jangiri,mkali,mpole,tajiri yaani he is good for me real like him my dady.. keep it up si kama hao wengine hawawezi la ni maoni 2

    ReplyDelete
  2. mzee magali ni noma ananivutia sana huwa anavaa uhusika sio mchezo

    ReplyDelete
  3. mzee CHILO yuko zaidi yao wote anajua kuuvaa uhusika

    ReplyDelete
  4. kwa matazamo wangu hawa wazee wote wako juu nawazimika kishenzi . yaaani wanavaa uhalisi wa kile wacho ecti.

    ReplyDelete
  5. charles magali anaweza sana

    ReplyDelete
  6. chalz magali is the best

    ReplyDelete
  7. Nawakubali wazee wote hawa. Mzee Chilo ana upeo wa kuigiza parts nyingi zaidi.

    ReplyDelete
  8. MAGARI ni nomaaa!!!!! hasa aki-act ukatili.

    ReplyDelete
  9. first,lazima niadmit wote wanajitahidi sana kwenye kucheza filamu zao, lakini so far kwa movies nilizoona mm naona by some distance mzee magali katangulia,anajitambua kwa kweli,

    ReplyDelete
  10. mie naona wana taste tofauti,chillo na kambi kwenye scene za familia esp wanapoigiza kitajili wanafit sana,magali mkali lkn ndo style zile zile za kufoka mwanzo mwisho kama kina ray,claud na wendawazimu wengine

    ReplyDelete
  11. Hawa wazee wote watatu ni ma-actors wazuri kabisa; si kama hawa vijana wa sasa ambao hawawezi kitu bali ni wauza sura tu kama vile kanumba, wema na irene.

    ReplyDelete
  12. Mimi nawakubali wote watatu.

    ReplyDelete
  13. Malick Abdulrahman SureAugust 22, 2011 at 10:49 AM

    Mzee Kambi yupo juu zaidi ya wote. japo anapendeza sna km baba.

    ReplyDelete
  14. MAGALIIIIIIIIIIIIIIIII

    ReplyDelete
  15. I don't like to comment but this one I'm going to and my vote goes to mzee Magali he is hilarious yaani nacheka mpaka basi na accent yake mi mbavu sina he is a very good actor

    ReplyDelete
  16. mzee chilo yuko juu..

    ReplyDelete
  17. ukweli mzee chilo ananikosha.

    ReplyDelete
  18. wote wanajitahidi ila mzee chilo zaidi.

    ReplyDelete
  19. Ahmed Ulotu a.k.a. mzee Chilo ndo anatishaaaa........ni mkareeee

    ReplyDelete
  20. MAGALI ANAKIMBIZA MBAYA.

    ReplyDelete
  21. Mimi nawafagilia wote watatu. Mzee Kambi, Mzee Magali na Mzee Chilo wote wanawavaa vizuri wahusika wanaowaigiza.

    ReplyDelete
  22. Mzee Chilo anaitwa Ulotu au Olotu? Naona umekosea spelling ya jina lake la ukoo.

    ReplyDelete
  23. Wote hawa babkubwa.

    ReplyDelete
  24. Namkubali zaidi Mzee Kambi

    ReplyDelete
  25. 1st - MZEE CHILO

    2nd - MZEE KAMBI

    3rd - MZEE MAGALI

    ReplyDelete
  26. Mie naona mzee magali anavutia sana kwenye filamu akicheza tajiri anaweza kwenye ukali yupo kwenye umasikini yupo yaani filamu zake zote nilizoziona ni nzuri sana magaliiiiiiiiiii yuko juuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  27. hashim kambi nampenda sana jamani

    ReplyDelete
  28. Magali ni noma!....

    ReplyDelete
  29. Mzee Magari ana jazba every-time, mzee chilo haropoki yuko neutral na mzee kambi wote wana personality, mzee magari hana personality anajazba mno km ray na kanumba.

    ReplyDelete
  30. Kuna tangazo moja la EATV la Bongo Movie mzee Magali anaongea "Acha maneno yako wewe", Magali, ni mkali.

    ReplyDelete
  31. Mzee
    chilo jamani lol

    ReplyDelete
  32. Namba moja Nampenda Ahmed Olotu yani mzee Chillo, namba mbili Hashim Kambi namba tatu Baba Bishanga na namba nne Jengua

    ReplyDelete
  33. bwana bwana Chilo ndio jibu ... Zama eboo! nitakuchapa husikii

    ReplyDelete
  34. mzee Chilo kiboko yao

    ReplyDelete
  35. chilo yuko juu zaidi ya wazee wote

    ReplyDelete
  36. hapana bwana magari anafaa kuwa mzee taperi au mwenye roho mbaya ua jizee la busara yani jasusi mchawi, chilo ana personality anafaa kuwa mzee tajiri, au waziri, au mtu wa dini hana jazba kuongea, anaongea km really LIVE

    ReplyDelete
  37. chilo siyo mwingine

    ReplyDelete
  38. mweeeeeeeee chilo mweeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  39. jumba la dhahabu limembeba mzee Chilo lakini yuko juu hata km hamtaki lakini kimbiza mbaya

    ReplyDelete
  40. mzee Olutu
    Ahmed Chillo

    ReplyDelete
  41. Mtihani mkubwa huu...mimi nawakubali wote watatu.

    ReplyDelete
  42. mzee chilo mkali namba one, namba mbili Mashaka sijui kwanini hamkumpambanisha, mashaka haja act movie nyingi lakini anakitu fulani....for real sio maigizo

    ReplyDelete
  43. zama tunataka na wewe useme wewe km wewe nani unamuona zaidi, gea, dina na husna kila mtu apige kura live tuwasikie. ila mimi mzee chiro naona ni zaid

    ReplyDelete
  44. mzee chilo kiboko ya wote

    ReplyDelete
  45. mzee chilo zaidi yuko juu wengine wanajikongoja

    ReplyDelete
  46. nampenda ahmed olotu - mzee chillo

    ReplyDelete
  47. chiro zaidi ya wote, tishio

    ReplyDelete
  48. mzee wetu mzee chiro

    ReplyDelete
  49. mzee chiro ana swaga za aina yake atishiwi nyau

    ReplyDelete
  50. nampenda chillo anastahili kwakweli zama hana jazba ana act kitu km kweli

    ReplyDelete
  51. we bwana we!!! chilo kila idara anaweza upole na ukatili pia,baba wa kisasa au mzee wa poli anafiti

    ReplyDelete
  52. nampenda mzee chilo mweeeeeeeeeeeeehhhhhhhhh

    ReplyDelete
  53. kwakweli msiangalie drama angalieni uhalisia, sio ku kurupuka mtu anafura km chatu ndio anajua kuvaa uhusika, soft speaking ni mzee wetu si mwingine CHILLO MEEEEEEEEEEEN!

    ReplyDelete
  54. acheni kelele ni mzee chilo number one ata BASATA wanajua ata movie Industry nzima inamkubali

    ReplyDelete
  55. zama piga kura yako na sisi tunataka kujua nani unamkubali, mimi mzee Ahmed Olotu a.k.a mzee Chilo

    ReplyDelete
  56. MIMI NAWAKUBALI WOTE LAKINI CHILO NAMBA ONE BWANA NAMPENDA MNO BASI TU KWAVILE KASHAZEEKA NA MIMI KM MWANAE

    ReplyDelete
  57. Mzee Chiro anatisha

    ReplyDelete
  58. kwakeli nimesoma comment za wote lakini Chilo anakimbiza

    ReplyDelete
  59. mzee chilo anafaa kuwa kinara hana mpinzani

    ReplyDelete
  60. Binafsi navutiwa sana na mzee Kambi.. maana hakuna movie aliyowahi kucheza ikachemsha ...zote ni kali saaana

    ReplyDelete