This Blog is all about Social and Entertainment issues...
Karibu kwenye Dunia yangu!!!
kwa mawasiliano tumia zamaradi.takeone@gmail.com
Monday, November 7, 2011
HONGERA SANA VENTURE kwa kutuletea BABY GIRL...
hhatimae ndoa imejibu, hapo juu a new baby girl akiwa na auntie.. kako soo chwit jamani.. na kanaonekana kajanja.. lol nhapo juu ni new parents berna na venture.. hongereni sana sana,
mnampa mtoto mafua tu na hizo hela kwani si mngempa mama yake azishike hadi mumuweke hapo? mtoto bado mdogo sana huyo na hela zina harufu kali kwa mtoto,
mnampa mtoto mafua tu na hizo hela kwani si mngempa mama yake azishike hadi mumuweke hapo? mtoto bado mdogo sana huyo na hela zina harufu kali kwa mtoto,
kwani huzijui ndoa za siku hizi hahahahaha mnajazana kwanza then ndo ndoa et wanapima huko kupma mmekuhalalisha nyie binadamu hahahahah...huo ni ushamba sasa mnamuonyesha nani hizo pesa mko kama hamjasoma pesa zina harufu kwa mtoto ni hatari kwa anza yake hata mwili bado haupo strong kupigana na maradhi acheni ushamba wa kifala nyie ni watu wazima
JAMANI HUYO MTOTO BADO MDOGO MMESHAANZA KUMUONYESHA DOLA? AKIKUA SI ATAKUWA AFTER MONEY?
ReplyDeletemnampa mtoto mafua tu na hizo hela kwani si mngempa mama yake azishike hadi mumuweke hapo? mtoto bado mdogo sana huyo na hela zina harufu kali kwa mtoto,
ReplyDeletemnampa mtoto mafua tu na hizo hela kwani si mngempa mama yake azishike hadi mumuweke hapo? mtoto bado mdogo sana huyo na hela zina harufu kali kwa mtoto,
ReplyDeleteMmmh mbona sielewi ndoa ni juzi juzi tu, mara imejibu?!! inamaanisha wakati ndoa inafungwa tayari bi shost alishashiba????!
ReplyDeletena wewe lini????mana upo njiani
ReplyDeleteMambo Zama, huyo atakuwa HEMED.
ReplyDeleteFrom Veronica John.
wameowana juzi tu mara mtoto?? am confused, alikuwa teyari kambebesha mimba , wakahalalisha mi kwishajua sasa bana
ReplyDeletekwani huzijui ndoa za siku hizi hahahahaha mnajazana kwanza then ndo ndoa et wanapima huko kupma mmekuhalalisha nyie binadamu hahahahah...huo ni ushamba sasa mnamuonyesha nani hizo pesa mko kama hamjasoma pesa zina harufu kwa mtoto ni hatari kwa anza yake hata mwili bado haupo strong kupigana na maradhi acheni ushamba wa kifala nyie ni watu wazima
ReplyDeleteongra yao jmn so cute bby gal!
ReplyDeleteKweli washamba, wameshika hizo dollar 500 ili tujue kuwa wao matajiri sana au? And why dollar not Tsh?? lol.
ReplyDeleteAfu ukute hao ni ndugu wa mwanamke wanaleta mbembwe ukweni; inahuuu
ReplyDeletewhat a show off? mtoto zake ni midoli jamani. wa beckam si atalalia godoro la dollar? FOOLS!!
ReplyDeletelabda wanamaanisha hiyo ndio thamani ya huyo mtoto. shame on them.
ReplyDelete