Wednesday, August 11, 2010

KUNA SIRI GANI NDANI YA VITAMBAA VYA ALADJI..!!???? (UVAAJI WAKE)


SWAGGA ZA ALADJI, hapa akiwa AMETUPIA vitambaa vyeupe

Watu wamekuwa wakihoji sana kuhusiana na uvaaji vitambaa vya USO wa mwanamuziki kutoka IVORY COAST ambae anatamba na wimbo wake wa ALADJI.. kwamba inakuaje ndio style ama vipi.. maana hata sisi ambao tulikuwa na nafasi ya karibu kidogo hatukufanikiwa kuiona sura yake ikiwa wazi.. anachofanya ni kubadilisha tu aina ya vitambaa mara VYEUPE mara VYEUSI na kikubwa ni style yake ya ufungaji ambayo inakuwa kama katoka hospitali hivi.. kiukweli ni style ya aina yake aliyokuja nayo huyu mwanakaka JEFF BOGOLOBANGO " mzee wa Aladji"

Hapa akiwa kajipigilia vitambaa Vyeusi

Kuna nini humo kwenye hivyo vitambaa..!!???

Wadau msaada kwa wenye idea kidogo..

Monday, August 9, 2010

MAMBO YA JUMA NATURE na LIL KIM

Nature akiwa amekumbatia mtoto, It was one of the best SHOW kiukweli.. The combination ya LIL KIM na NATURE was the Best kwa uliekuja Fiesta utahakikisha hilo!!!
Lil kim akiwa na dancers wake...

Aliingia kwa style hii kabla hajatoa hako kamtandio ka-pink na kubaki kama anavyoonekana kwenye picha nyingine!!
Saaaaaaafi... Lil Kim alimmind sana kijana wetu na nyimbo zake.. kwa taarifa niliyokuwa nayo ni kwamba mwanadada ameondoka na COLLECTION kibao ya nyimbo za nature so huenda tutasikia lolote, just keep on waiting huenda kukatokea ka-collabo fulani kati ya LIL KIM na JUMA NATURE kiroboto... WANAUMEEEEEE!!!!


Saturday, August 7, 2010

HAPPY PEOPLE........

From left MBOKA INC my graphic designer kutoka CLOUDS TV, DATAZ, KANYOPA JOACHIM another graphic designer wa mjengoni, MIMI mwenye black top, JORAM NYAUMBA my EDITOR pamoja na CAMERAMAN wa mjengoni ABUU!!!!!

LEO nikiwa katika INTERVIEW na LIL KIM...

Mimi pembeni kushoto na Lil kim Tukiwa katikati ya Interview iliyofanyika pale MJENGONI..

Kikazi zaidi

Hapa LIL KIM akiwa anaexplain kitu kwa msisitizo zaidi...

Kutoka kushoto DATAZ, MBOKA, JORAM NYAUMBA, MIMI ZAMARADI, LIL KIM,mwenye dreadlocks nyuma ni KANYOPA, ABUU na Brother SEBASTIAN MAGANGA
Tukiteta jambo kidogo na QUEEN BEE (LIL KIM)
Usikose FIESTA leo full kujipangusa.. Rrraaaaaaaaaaaaaaaa!!!

ON THE INTERVIEW WITH BRACKETS (YORIYORI) ALL THE WAY FROM NIGERIA

Hapa ilikuwa kabla ya interview katika setting za hapa na pale ili kuweka mambo sawa

Tukiwa on set ready for interview...

Niliwauliza mwanamuziki gani wanamkubali kutoka kwao NIGERIA wakanijibu ni 2face Idibia.. na kwa taarifa fupi ni kwamba wamefanya nae remix ya YORIYORI ambayo itazinduliwa rasmi on FIESTA LEO HII ... USIKOSE

Akijielezea kidogo

Mimi hapo pembeni pamoja na BRACKETS lakini kwa majina yao kutoka kulia ni SMASH na huyo wa katikati anaitwa VAST.. talented group from NIGERIA.. thanks kwa uongozi wa Clouds FM kwa kutuletea watu hawa on this day.. kwa jinsi nilivyowaona wanaelekea watarusha vibaya mno.. they got VOICE, they got ENERGY, in short they are really good.
JIPANGUSEEEEEEEEEEEE
Katika picha ya pamoja


Friday, August 6, 2010

THE SEXY AUNTIE ndani ya YOUNG BILLIONAIRE

Moja kati ya waigizaji wenye mvuto hapa BONGO ambae amefanya makamuzi ya aina yake ndani ya kitu kipya cha "THE YOUNG BILLIONAIRE with a SUPERSTAR" akiwa ameigiza kama superstar mapepe ambae anatoka na kijana billionaire (Kanumba).
Itafute halafu tuone...

KARIBU KIUMENI

Acha niwe mkweli I love this guy.. ni mmoja kati ya wasanii ninaowakubali sana.. ana sauti fulani ambayo ni unique kiukweli..

Jana tulikuwa pale TEMEKE na watoto wa TMK katika maandalizi ya kujipangusa kama unavyoona hapo pembeni kushoto kuna Chege, Temba katikati pamoja na Reuben ndege.

Chege, mimi pamoja na Muheshimiwa Temba ambae ni mmoja kati ya vichwa vya TMK ambae nae atawakilisha kwenye FIESTA jipanguse jumamosi ya kesho..

Usikose KESHO fiesta tukutane pale Leaders tujipanguse pamoja na kina BRACKETS kutoka NIGERIA, MZEE WA ALADJI kutoka IVORY COAST pamoja na LIL KIM all the way from USA.

JIPANGUSEEEEEEE!!!




Wednesday, August 4, 2010

MJUKUU WANGU...



Anaitwa Terrence.. the little swagga boy.. katundu kiasi but veery smart

Huyu ni mtoto wa mtoto wa brother angu kabisa (mjukuu wa my Brother) mama yake ananiita 'AUNTIE'

Anawapa Hi kidogo
ha ha haaaa..
like father like son.. Soo nice
huyu ndie mama ya Terrence... very proud of his little boy
I got it from my papa.. SWAGGA IS ON!!!!
Seems atasumbua sana baadae huyu

katika pozi mwenyewe utamuomba...
"U CAN TELL ME NOTHING"
Akiwa na wajomba wajomba
Kwa style hii wakwe lazima wawe wengi hapo baadae.. lol!!!
Kana mambo hako... sijui anachat na MCHUCHU!!!
When i see this kid i wish to have ONE kiukweli....
This is really nice
Swagga is ON

The Momma
Happy family

MAMA LEVO ANANIFANYA NAJUTA KUJIITA BABA LEVO


mambo vp MZAZI

swala hili lipo hivi. ujue mwanzo nilikuwa naona ni faraja kwa mtoto wangu LEVO kama ntatumia jina la BABA LEVO coz mwanangu akikua ataona ni jinsi gani ninavyo mpenda mwanangu.
lakini kwa sasa baada ya kuachana na mama yake. {MAMA LEVO}imekuwa tofauti kidogo coz juzi nilikuwa na show kadhaa home kwetu kigoma so wakati nipo huko ndo nikawa napata story kibao za mama levo coz amekuwa maarufu huko kwetu utazani na yeye anaimba.

na bora hata angekuwa anafanya mambo mazuri ingekuwa sio mbaya lakini daaaa!!! yaaani amefungulia geti coz hata washikaji ambao walikuwa wanamuogopa zamani coz alikuwa na mimi leo hii wamekuwa wanamnywesha mapombe wanalalanae yaani ameharibu CV yangu yoote coz kila anapopita watu wanaonyeshana huyu ndo mama levo aliyezaa na BABA LEVO ni muhuni yaaani kawa kama mtu aliyetupiwa jini la ngono sijui.

nimejiskia vibaya sana coz wakimsema yeye wananisema na mimi kwa vile hili jina ninalo litumia BABA LEVO na yeye ndo MAMA LEVO.
wanawake bana.

KAZI NJEMA MZAZI WANGU

Nimeiwasilisha kama ilivyo kutoka kwa baba levo
.

WANAMUZIKI WAKONGWE,KWAYA,TAARABU MUZIKI ASILI, NA MINGINE YOTE

Kwa wanaokumbuka majina tafadhali msaada





Kwa kizazi cha sasa wengi watamkumbuka mMarehemu TX Moshi tu hapo pichani aliye kifua wazi... MUNGU amlaze pema peponi.



MAJINA YAO TAFADHALI KWA MTU YOYOTE MWENYE KUMBUKUMBU
Picha zote kwa hisani ya JOHN KITIME