Jackueline Wolper

Baadhi ya warembo waliohudhuria bonanza linalofanyika kila jumamosi pale leaders club

Miriam Jolwa ama JINI KABULA kama anavyotambulika na wengi

Toka kushoto Shamsa Ford, Hassan miundombinu na Jacqueline Wolper ndani ya Bonanza la wasanii

Tuesday Kihangala a.k.a MR. CHUZI nae alikuwepo

Warembo wakijiachia

Jackueline Wolper na Jini Kabula wakibadilishana mawazo

Bi Mwenda nae alikuwepo katika kuweka jumamosi yake safi

Hapa akilirudi sebene kimyakimya juu ya kiti.. lilimkolea kwelikweli!!
Unafanya mchezo na Ndovu ya Tembo?
ReplyDeletehahahahahah
Bi mwenda yuko juu.
disminder.
hehe hiyo picha ya warembo wawili hilo gari lina plate number nzuri kweli ASS.heheh
ReplyDeletejamani jini kabula ni mzuri...i love her
ReplyDelete