Wednesday, April 28, 2010

TAFAKARI........

5 comments:

  1. Kwa jamaa hawa walivyokaa kwa bahati mbaya kama suruali imechanika hicho kirungu si kinaweza pitiliza na kuleta madhara makubwa?

    ReplyDelete
  2. Sijui wanajisikiaje hapo walipo?Ujumbe,kama usafiri ni mali kalia kichwa!

    Mwanadada!

    ReplyDelete
  3. E bana jamaa wa kulia anaonekana anatafakari kumbe.... maana yeye amegeuzia kirungu kwenye ncha yake... duh pole sn brother

    ReplyDelete
  4. E bana huyu jamaa wa kulia anaonekana kama anatafakari kumbe anasikilizia.... maana yeye amegeuzia kirungu kwenye ncha yake .. dah pole sn bro

    ReplyDelete
  5. Hapo wako kwenye raha zao sina comment

    ReplyDelete