Thursday, May 20, 2010

HAWA WAMECHANGIA CCM.. WEWE JE???

Belle 9 na Diamond
C - pwaa

Chege

Proffesor JAY
Dully Sykes
Joh Makini

Barnaba na Amini (THT)

Mwasiti na Chidi
Mwana FA


5 comments:

  1. hao wote ni waongo na mambumbumbu,hamna kitu kichwani(zero critical thinking),hawajui hata wanachoimba maana yake nini especially huyo prof jay ndo zero wa namba 1 kichwani...analalamika halafu anakula matapishi yake mwenyewe,SIJUI NI NJAA KALI AU...NA MTAKUWA NA NJAA KALI MPAKA MILELE KAMA WAFUASI WA KIBWETERE....NA KAZI ZENU HATUNUNUI NG'OOOO MAANA MNAWASAIDIA MAFISADI HUKU WANANCHI WENGI HAWANA KITU,SHULE MBOVU NA HAZINA WALIMU...NYI HATA KUHAMASISHA HAMTAKI...SHAME ON THOSE GUYS WHO PRETEND TO BE SMART..

    ReplyDelete
  2. Hawa wote njaa tu inawasumbua.Unaponda kisha unarudi kule kule. Ila dhamira zao zinawasuta.Hapo swala la haki miliki vipi limeshapatiwa ufumbuzi au mkipewa t-shirt mnasahau yote. Mbadilike. Nawakubali Wagosi na yule dada aliyeimba Mr.politian wanajua nini wanafanya.

    Mdau

    ReplyDelete
  3. Waone sasa walivyotoa mimeno yao, watakula hizo Cd zao au wakamuuzie Kikwete zote.

    ReplyDelete
  4. hawa hawajachangia CCM ila CCM imewachangia wao ...

    kweli hawana akili ....
    watakufa masikini ....

    ReplyDelete