Monday, May 3, 2010

THE TOP MODEL - FIDELINE IRANGA

Na yeye siku ya jana alipata tuzo kama MODEL mwenye mvuto hapa BONGO.. go fide.. go fide....!!

13 comments:

  1. Model mwenye mvuto? mvuto with respect to what? Tufafanulia plz!

    Hongera Iranga, Fideline

    ReplyDelete
  2. kha hapo bomu!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Ana mwili mzuri lakini kajiharibu kutia mekup zake mpaka anatisha yani.

    ReplyDelete
  4. Tena anaonekana kama mpoki, jamani tuwaache kuwananga watu watu. sasa huyu dada ana mvuto wa nini? wa kuvaa uchi au? hamna kitu hapo

    ReplyDelete
  5. yani mi sijaelewa,model mwenye mvuto???????

    ReplyDelete
  6. hahahahahahah..teh teh teh sitaki kucheka maana iyo picha kama jini flan uwiiiiiiiiiiii watoto wakiona watakimbia

    ReplyDelete
  7. jamani jamani jamani..dhambi hizi...hao waliompa hiyo award wanamchora au? basically sijaona

    ReplyDelete
  8. hustahili kwakweli, zamaradi hebu toa hiyo picha haraka inakuchafulia blog yako, hicho ni kituko cha mwaka, hivi huo mvuto alishindanishwa na bi kidude au? kinyaa

    ReplyDelete
  9. kwakweli acheni tu watu wengine wajitoe kwenye hizi tuzo mana wandaaji wakatimwingine wanakurupuka huyu Fide ana vigezo gani vya kuwa MODEL??

    ReplyDelete
  10. jamani haya ni makubwa ivi smiling faces wanajua Model ni mtu gani??huyu ni miss BANTU ambae inabidi apewe darasa la kupangilia MAKEUPS hata mavazi

    ReplyDelete
  11. YOU GUYS ,YES SHE CAN BE A MODEL HAVE YOU EVER HEARD OF PLUS SIZE MODELS?SHIDA KUBWA YA HUYU DADA NI DRESSING UP IN TRASHY WAY.Halafu siku hizi kaingilia na makeup za ajabu..Hata simuelewi kwa kweli

    ReplyDelete
  12. afadhali hata make-up za mpoki

    ReplyDelete