This Blog is all about Social and Entertainment issues... Karibu kwenye Dunia yangu!!! kwa mawasiliano tumia zamaradi.takeone@gmail.com
This Blog is all about Social and Entertainment issues... Karibu kwenye Dunia yangu!!! kwa mawasiliano tumia zamaradi.takeone@gmail.com
HAKIKA INATIA MOYO KUONA TANZANIA TUNAENDELEA VIZURI KATIKA MAMBO YA FILM.
ReplyDeleteCHA KUSIKITISHA TANZANIA FILM ZETU MARA NYINGI HUONYESHA MAMBO YA WACHAWI KUFANIKISHA NA HII HAKIKA INARUDISHA NYUMA MAENDELEO.
NI MUHIMU SANA TANZANIA KUUPIGA VITA UCHAWI KWA KUTUMIA FILM MAANA NI UONGO MTUPU NA HIVYO KUWAFANYA WATANZANIA 95% KUAMANI UPUUZI HUU.
HIVYO NIMGALIOMBA KUFANYA FILM ZA KUNYESHA JUHUDI, ELIMU NA MPANGILIO NDIO MAFANIKIO YA MAISHA VINGINEVYO TUTAKUWA MASIKINI WAKATI NCHI YETU TAJIRI. MOHAMMED AL BALUSHI
mh!
ReplyDeletemimi hata mkinitukana nitukaneni lakini kinachotatiza nitakisema tu
KWANI HUWEZI KUWA STAR HADI UVAE NGUO FUPI?
samahanini jamani,
ReplyDeletembona huyo mwenye weaving vimacho vyake vijanja sana, kama anaumwa dege dege???????
samahanini lakini
kusema kwel mnajitahid sana dada zangu....big up sanasana sis zamda
ReplyDelete