
Niko na zawadi yangu kutoka kwa Bibi

Leo tulienda kushoot Bibi Bomba na huyu ni mmoja kati ya mabibi tuliokwenda kuwatembelea ametupokea vizuri sana na kutuonesha ukarimu wa hali ya juu. Pia ametupa zawadi kibao yakiwemo Mahindi, Maboga, Mboga za majani na zawadi nyingine kibao kutoka shambani kwake.. hapo tukiwa nje ya nyumba yake.

Mimi hapo kushoto, Mohammed Cameraman wangu pamoja na Shagile hapo kulia

Hapo ameongezeka Wasiwasi Mwabulambo katikati na boga lake kichwani
Vijana wa kazi......

Baada ya kumaliza kazi Production team yangu.. Shukrani sana kwa BIBI tume-enjoy sana hii Trip..
I miss Tanzania jamani, duuh maboga hayo....thanks!
ReplyDeletebila shaka wasi alikuwa anatafuta ndumu huko shamba
ReplyDeletejamani halafu umepikaje? puddin au boga la kuchemsha kwa maziwa ya mgando?
ReplyDeleteI miss my love country.
zamaradi mimi pia ni demu mzuri kama wewe, sikuvunjii heshima ila nasema tu ningelikuwa mwanamume ningekuoa kwa sababu we mzuri. take care. shamsa.
ReplyDelete