
NANI ZAIDI????

Hemed akiwa katika moja ya set ya filamu yao mpya ambayo wanafanya chini ya kampuni ya 5 effect kwa WILLIAM J. MTITU

HEMED na MLELA wakiwa kwenye set

Madirectors DENNISS NGAKONGWA na WILLIAM MTITU

Mwanaume kazini

Baada ya kazi.. wanakula pozi kidogo

Mlela akisoma script

Mafahari wawili ndani ya filamu moja

Mlela on set
Mwanzo vijana hawa walikuwa kwenye beef zito sana lakini kwasasa wamepatana na kutoa tofauti zao na wanafanya kazi pamoja.. tusubiri tuone filamu hiyo ambayo ni COPY ya filamu ya BESTMAN ya nje.
Mimi naona wote wanapenda kuuza sura ila HB kazidi, haya tena tusubiri hiyo filamu tuwaone mafahari wawili hao
ReplyDeleteMbona katika hiyo picha inayomuonyesha Hemedi ame-relax umeandika'mwanaume kazini'? Kama analipwa kwa kujinyoosha naona na mimi pia naweza kuwa actor.
ReplyDelete