
Hii ilikuwa ndio siku tuliyowasili, tumechoka vibaya hapo maana jana yake kila mtu alikuwa na historia yake..

tukiwa na mdau kutoka MWANZA mmiliki wa ZAI fashions MWANZA, kutoka kushoto ni MOSHY HABIB, SEBASTIAN MAGANGA, ZAI FASHIONS, ZAMARADI MKETEMA pamoja na DINA MARIOS

Kama ilivyo hapo juu

Dina, Gea, Moonshine pamoja na Sebastian Maganga.

Nikiwa na Sebastian Maganga (our programs manager)
No comments:
Post a Comment