Kutoka kushoto Kimora, Geofrey ambae ndie Ex. producer wa hiyo filamu, Zamaradi Mketema (mimi) pamoja na Thecla ama Suzzy kama alivyocheza kwenye filamu ya Facebook..
This Blog is all about Social and Entertainment issues... Karibu kwenye Dunia yangu!!! kwa mawasiliano tumia zamaradi.takeone@gmail.com
Friday, April 15, 2011
KUTANA na KIMORA wa TANZANIA kupitia filamu mpya iliyofanyiwa UINGEREZA inaitwa FACEBOOK
Kutoka kushoto Kimora, Geofrey ambae ndie Ex. producer wa hiyo filamu, Zamaradi Mketema (mimi) pamoja na Thecla ama Suzzy kama alivyocheza kwenye filamu ya Facebook..
wewe nawe usituchoshe huna jipya embu muangalie Dina mwenzio jinsi anaupdate blog yake, wewe kapicha kamoja tuuuuu, aaa bwna ee sasa ulifungua blog ya nn kama huwezi kuimantain bana, kula kona huko funga kabisa maana huna jipya, toka tarhe 11, hadi leo halafu unatuletea kapicha kamoja tu kimora kimora ...kimora bongo?
ReplyDeletefilam za kibongo zikichezwa nchi za ulaya mara ngingi,zinakuwa hazina uzuri wowote ule.bora filam zichezwe tz
ReplyDeletewee katoto uumdhuri kwei kwei. unayo damu ya kitusi aisee nimekubali.mouah
ReplyDeletemdau jerusalem
unawajua watusi wewe mdau wa jerusalem au unawasikia? wala hakaribii sema ana uzuri wake mwenyewe kama mwenyewe.
ReplyDelete