
Ndio tulivyoianza jumatatu kinamna hiyo... Zamaradi Mjengoni leo!!!

Antu na Zamaradi

Kutoka kushoto ANTU ambae utampata soon kupitia Clouds TV, ZAMARADI pamoja na mama wa ng'aring'ari SAKINA WA LYOKA!!!

Babuu wa kitaa pamoja na Antu

Ceaser Daniel

Kama tulivyo hapo juu, Antu, zamaradi, sakina

With my girl Antu Mandoza...

Sakina Lyoka na Antu.. YANGA OYEEEEEEEEEEEEE

Hapo nikiwa na mamaa wa ng'aring'ari....
Hizo ndio picha za mjengoni jumatatu ya leo!!!
NIMEMALIZA!!!
dah kipendacho roho, nikikuona tu zamaradi huwa nasikia raha sana,sema ndiyo umeshawahiwa
ReplyDeletezamaradi wewe ni mzuri sana napenda shape yako sana. mama sakina wa lyoka amerudi lol nlimmiss sana
ReplyDeletenaona leo umeamua kujishoooo kama dina marios tupe habari motomoto please we know you guys.
ReplyDelete