This Blog is all about Social and Entertainment issues...
Karibu kwenye Dunia yangu!!!
kwa mawasiliano tumia zamaradi.takeone@gmail.com
Tuesday, July 19, 2011
THT in America...
Kwasasa wasanii kutoka Tanzania House of talents THT Mwasiti, Linah, Barnaba na Amini wako Marekani ambapo wanatarajia kuimba jukwaa moja na Usher raymond ambayo itakuwa ni kwaya ya watu 14.
Hizo ni sehemu za rehearsel wanazoendelea kufanya wakiwa huko Na hiyo itakuwa ni historia nzuri sana kwenye career yao ya muziki kuimba jukwaa moja na Usher raymond ambae ni msanii mkubwa sana Duniani.. All the best guys!!!
tukubali tukatae jamani kujua kiingereza kuna umuhimu wake.sio kwa ajili ya music tu,ila hata kwa njia ya filam.waimbaji wenzetu wa ki nigeria wako juu,nina amini lugha pia inachangia
THT Mwasiti, Barnaba, Linaah all Y'all are blessed with Talents jamani. Good luck with the performance with Usher and i believe you are all going to make us PROUD.
lina ananiboa na hiyo style yake ya kiduku.
ReplyDeletemimi lina ananiboa anavyojiweka nyuma na kutokujiamini kama anaona aibu vile? au anaogopa kuulizwa swali ngeli haipandi?
ReplyDeletetukubali tukatae jamani kujua kiingereza kuna umuhimu wake.sio kwa ajili ya music tu,ila hata kwa njia ya filam.waimbaji wenzetu wa ki nigeria wako juu,nina amini lugha pia inachangia
ReplyDeleteTHT Mwasiti, Barnaba, Linaah all Y'all are blessed with Talents jamani. Good luck with the performance with Usher and i believe you are all going to make us PROUD.
ReplyDeleteKwani huyo Linah hana style nyingine zaidi ya Kiduku au una mtu amemwambia anapendeza sana?? Afu amepoza mwanamuziki gani amepoza damu imelala kabisa.
ReplyDelete