Friday, July 30, 2010

TAMKO RASMI

AM VERY HAPPY sababu NIMETHUBUTU kitu ambacho watu wengi wanakihofia na hiyo ni alama na dalili nzuri sana kwangu, siku zote naamini kwamba UTHUBUTU ni ALAMA YA UJASIRI na mtu jasiri ziku zote ATASHINDA TU. huu ni mwanzo mzuri kwangu ukizingatia kwamba target yangu haikuwa kushinda ila ni kujitengenezea mazingira mazuri na njia ya kujitambulisha kwenye siasa, na kwa kiasi kikubwa sana nimefanikiwa katika hilo (kufikia targert yangu)na huo ni ushindi tosha kwangu.

NILICHOFURAHI ni kwamba UWEZO WANGU UMEONEKANA na NIMEFURAHI pia kwa KUTEULIWA kuwa MJUMBE kwenye KAMATI YA MAHUSIANO NA JAMII. Its a good starting point and am really happy ndani ya muda mfupi huu niliokuwa kwenye mchakato nimejifunza vitu vingi sana na nimepata experience kubwa mno, naweza nikasema ZAMARADI wa wiki mbili zilizopita ni TOFAUTI na ZAMARADI wa sasa kwani kuna mengi sana ambayo nimeyaona na kujifunza.

Nataka nitamke rasmi kwamba huu ni mwanzo wa safari yangu ya kisiasa, sijaishia hapa na kwasasa ndio nimetumbukia rasmi kwa miguu yote miwili.Penye nia pana njia na mimi NIA ninayo na naamini njia itapatikana. kwa wanaonisupport nashkuru sana na naomba muendelee kunisupport kwani VIJANA ndio sisi, vijana ndio taifa la leo na kesho hivyo sisi ndio wa kuleta mabadiliko na vijana TUNAWEZA, anaeamini hawezi basi HATOWEZA kamwe.

Otherwise namshukuru MUNGU,Najua NAWEZA na NITAFIKA TU MBALI kwa uwezo wake MUNGU.

HUU NI MWANZO TU.

6 comments:

Anonymous said...

Hongera Zamaradi...
All the best, usikate tamaa, najuwa utakutana na vizingiti ningi tu...usikate tamaa dada yangu....hata sisi tulivyoingia ilisumbua hasa pale uingiapo na ukahisi huna support/referee etc...wengine tulichekwa, kwamba tunapoteza muda lakini sasa tunasalimia na kuitwa waheshimiwa....Kumbuka kutokata tamaa...be strong and confident...

Anonymous said...

sasa mwenzangu kama umeingia kwenye siasa itabidi uache mapozi kabisa, maana hizo kura zenyewe za kubembeleza.

Anonymous said...

duh kusema ukweli niliposikia unagombea sikuamini hadi nilipokuona siku ya kupiga na the way ulivyokuwa unajieleza nilifurahi such a young and beutful gal like u can be into politics?
kama ulivyosema huu ni mwanzo 2 na kama hutakata tamaa mwaka2015 una possibility ya kuchukua

Anonymous said...

Msijidanganye kuwa siasa ni kila mtu angalia chanzo chako appearance yako na ujasiri wako kama haviendani mnaenda kuuza sura tu kwenye siasa bakini na carrier zenu mtafika mbali

Anonymous said...

Just curious Zamaradi kwanini umeamua kupitia CCM? Ni kwasababu unakubaliana na sera zake 100% au ndio chama unachoona unaweza kushinda au kujulikana kirahisi? Au ni nini hasa?

Anonymous said...

nimekuona katika blog ya ray ukiwa na mtu maarufu sana Abdul hongera