
Ujumbe! Ni kwa vijana wote wakitanzania hasa wa kizazi cha ssa nilikuwa nawaomba sana kuwa wakweli ktk maisha yao halisi ya kila siku couz unamkuta mtu life yake ni chini kabisa lakni kwa kutaka kuishi maisha ya ktk muvi anajikuta ktk mazungira magumu sana ya maisha yake! Matumizi ya social network vijna wa tz tumeyageuza kutoka matumizi yake sahihi tumejikuta ni mahara pa kufanyia mambo yetu tunayoyajua wenyewe so vijana tuwe makini na haya!! its Me Augustine magessa@Zama
Hata wewe unaweza kunitumia picha yako na ujumbe ulionao kupitia zamaradi.takeone@gmail.com
1 comment:
Thanks nimeonaaa...ivan
Post a Comment