Leo siku ya tarehe 23 March 2011 mmoja kati ya watu muhimu sana hapa mjengoni anatimiza miaka kadhaa.. The creative person Anaitwa REUBEN NDEGE a.k.a Ncha kali na huyu ndio mtu ambae yuko nyuma ya maujanja yote ya hapa mjengoni (Clouds FM radio & Clouds TV)...
Happy Birthday brother though nimekawia kidogo kukuwish but i hope sijachelewa sana.. MUNGU akubariki katika kila unalolifanya na aendelee kukuweka ili na sisi wengine tuendelee kufaidika kupitia maujanja yako!!! MUCH RESPECT TO YOU!!!ukiachana na utangazaji ambao ni kipaji pia unaweza kumpata kupitia wimbo wa SHIMO LIMETEMA ambapo ametupia mistari yake pia kwa kushirikiana na Fid Q lakini pia JIRAMBE aliofanya na watoto wa maghorofani enzi hizo kwasasa mjengoni.. na piiaaaaaaa he is a good model & actor as well though hajaamua kujikita humo zaidi but i'll give him a DEAL this year ha haaaa.. get him through a new video ya NAKAAYA inayoitwa SHUKRANI YA PUNDA then utajua nini namaanisha.. I respect you sana brother...
HAPPY BIRTHDAY!!!!
3 comments:
Mungu ampe maisha marefu.
Happy birthday bro,we wish u many many more.
Be blcd.
THANK YOU DADA...SANA TUUUU..REUBEN
Post a Comment