Nichukue nafasi hii kuwakumbusha waliofunga kuwa 1. Mwombeni Mwenyezi Mungu msamaha kwa lengo la kotorudia makosa yetu. 2. Tuzidishe kuwasaidia wale ambao uwezo wao ni mdogo zaidi. 3. Tuzidishe upendo hasa kwa majirani zetu wote na wafanyakazi wenzetu. 4. Tuseme ukweli daima. 5. Tusitukane. 6. Tusisengenye. 7 Tuwasamehe waliotukosea. 8. Tupigane vita dhidi ya matamanio yetu ya kimwili yaliyokatazwa. 9. Tuache hasira za ovyo. 10. Tuwe tayari kuwasaidia wasafiri tusiowajua. Tukiweza kufanya hivyo basi tutakuwa tumefanikisha zaidi swaumu zetu na Mwenyezi Mungu akipenda anaweza kukupandisha daraja kiroho na kukupa ufanisi zaid katika maisha yako ya dunia na dini. Nawatakia mfungo mwema.
Hiv Zama unajijua kuwa wewe ni mzuri sana. Huyo uliyenae bado hajatangaza nia mpaka leo, ngoja watu wamzidi kete alafu ajilaumu. Nice look mama! Swaumu njema.
Kitu kimoja Zama..jitahid uwe una-update basi blog yako...naona imepita kama two weeks ulikuwa kimyaaaaaaa!!!!
Ramadhani njema kwa wadau wote. Lakini mwezi huu ukisha yaani siku ya Idi si "kulipiza kisasi" na watu kunywa pombe mpaka wakajikojolea. Hili kila Idi na mwisho wa siku 40 za Lenti/karesmo tunaliona kila mwaka. Tujirekebishe.
Tunashukuru kama upo poa Zama.Maana nilimsikia Dinah kwenye leotena kwamba unaumwa. Basi poa. Umependeza na hzo dira zako my dia! By mama wawili!!
ReplyDeleteNami nachukua fursa hii kuwatakia wadau wote, waliofunga na wasiofunga, Ramadhani ya utulivu na amani.
ReplyDeleteAhsante. Nakutakia wewe na jamaa wako wote Ramadhani njema.
ReplyDeleteNichukue nafasi hii kuwakumbusha waliofunga kuwa 1. Mwombeni Mwenyezi Mungu msamaha kwa lengo la kotorudia makosa yetu. 2. Tuzidishe kuwasaidia wale ambao uwezo wao ni mdogo zaidi. 3. Tuzidishe upendo hasa kwa majirani zetu wote na wafanyakazi wenzetu. 4. Tuseme ukweli daima. 5. Tusitukane. 6. Tusisengenye. 7 Tuwasamehe waliotukosea. 8. Tupigane vita dhidi ya matamanio yetu ya kimwili yaliyokatazwa. 9. Tuache hasira za ovyo. 10. Tuwe tayari kuwasaidia wasafiri tusiowajua. Tukiweza kufanya hivyo basi tutakuwa tumefanikisha zaidi swaumu zetu na Mwenyezi Mungu akipenda anaweza kukupandisha daraja kiroho na kukupa ufanisi zaid katika maisha yako ya dunia na dini. Nawatakia mfungo mwema.
ReplyDeleteHiv Zama unajijua kuwa wewe ni mzuri sana. Huyo uliyenae bado hajatangaza nia mpaka leo, ngoja watu wamzidi kete alafu ajilaumu. Nice look mama! Swaumu njema.
ReplyDeleteKitu kimoja Zama..jitahid uwe una-update basi blog yako...naona imepita kama two weeks ulikuwa kimyaaaaaaa!!!!
MashaAllah Zama umependeza sana na vazi hilo nawe pia tunakutakia Ramadhani njema,
ReplyDeleteWako
James
Ramadhani njema kwa wadau wote. Lakini mwezi huu ukisha yaani siku ya Idi si "kulipiza kisasi" na watu kunywa pombe mpaka wakajikojolea. Hili kila Idi na mwisho wa siku 40 za Lenti/karesmo tunaliona kila mwaka. Tujirekebishe.
ReplyDeleteUmependeza nimelipenda sana hilo Dira lako,mwanamke kujistiri hasa kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani.
ReplyDeleteningefurahi kama ungekuwa my wife
ReplyDeleteMtoto unaita......MASHAHLAAAAH JAMANI.. Yaani macho yako Zamaaa weeeeeeh!!!!! Sijui kitandani itakuwa mapozi yakeee!!!!
ReplyDeleteuwe unavaa hivyo kila siku kama kweli ni muislam safi
ReplyDelete