Thursday, August 11, 2011

WEMA SEPETU v/s IRENE UWOYA.. NANI ZAIDI!!!!??????

Kwa maoni yako kati ya IRENE UWOYA pamoja na WEMA SEPETU nani mkali kiuigizaji!!??? na kwanini?? wote ni wasichana warembo na waigizaji wakubwa hapa Tanzania, kwa upande wa Irene tayari ameshacheza filamu kama Diversion of Love ambayo ndio ya kwanza, kisha Oprah ambayo ndio ilimtoa kabisa baada ya hapo akfanya nyingi nyingine kama my dreams,pretty girl, senior bachelor ambayo ni ya mwaka huu na nyinginezo nyingi...
Kwa upande wa WEMA, a point of no return ndio ilimtambulisha, kisha Family tears, baada ya hapo akafanya nyingi kama,red valentine, lerato, basilisa na nyinginezo nyingi sana
KWA UPANDE WAKO WEWE UNAESOMA HAPA na kwa maoni yako, KATI YA IRENE UWOYA na WEMA SEPETU..


NANI MKALI!!!??????

99 comments:

  1. Wema Sepetu mkali sanaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Wema Sepetu yupo juuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  3. Irene ndo mambo yote aisee.Kila nafac anaweza kuikabili vizuri.Wema kwa mfano akipewa nafac ya ku act mkatili au mama wa kambo sidhan kama panaweza kuwa na uhalisia maana kuanzia saut yake haijaa kikatili.

    ReplyDelete
  4. Wema yupo juu huyo Irene na mapozi sana ya Umiss.

    ReplyDelete
  5. Mimi kwangu wote wapo juu, kila mtu kwa nafasi yake!

    ReplyDelete
  6. Nishakwambia Irene ni zaidi

    ReplyDelete
  7. irene zaidi anaweza kuhandle pande zote mahaba, ukatili, ujambazi. uwoya mkali

    ReplyDelete
  8. wote wa kawaida tu wala sioni uzuri wao

    ReplyDelete
  9. wewe ndo mkali bwana

    ReplyDelete
  10. Irene ni mkali coz anavaa uhalisia

    ReplyDelete
  11. Irene yupo juu wacha maneno hapo. yaani anacover angle zote

    ReplyDelete
  12. irene uwoya yuko juu...anajua kuvaa uhusika vizuri

    ReplyDelete
  13. Hiyo picha ya Irene sijaipenda kwa kuwa naona amejidhalilisha kwa kupiga picha katika pozi ya kufirama na kuonyesha mwanya wa makalio yake unapoanza. Jamani hata kama ni huo uzungu tujiwekee mipaka. Kwani huyo Irene hana ndugu au jamaa ambao wanaweza kuona picha hiyo pozi ya mtu anayetoa "tigo"?

    ReplyDelete
  14. Yani mm kama mm kwaupande wangu nadhani Irene yuko juu zaidi. Mana anaweza kucheza nafac yoyote ile kama mdau alivyosema hapo juu. Coz Sauti ya wema hawezi cheza nafasi nyine. Irene zaidi ya wema.

    ReplyDelete
  15. Hivi Zama unaweza fananisha "chips dume" na "chips mayai"
    Irene yuko juu Zamaaaa!!! tuache utani hapa kwenye hilo.

    ReplyDelete
  16. irene yuko juu na ametulia kiakili zaidii.

    ReplyDelete
  17. hamna woote ovyo tu...MONALISA ndio mkali

    ReplyDelete
  18. Amy..mtu anaweza akawa na sauti ya upole na still akawa mkatili kuliko Idd Amin..Wema mkaree

    ReplyDelete
  19. wema mwanzo mwisho

    ReplyDelete
  20. mkali wewe Zanaradi. teh teh teh

    ReplyDelete
  21. wema bwana mkali sana

    ReplyDelete
  22. Mimi naona wote hawa wamechemsha katika fani ya uigizaji wa sinema. Ma-actors wa nchi zozote duniani wanasomea acting. Hapa TZ ni 'sukuma twende' tu...mradi ujuane na watu fulani basi eti unakuwa actor. Ndiyo maana sinema za Kenya, Nigeria, Kihindi na za kiarabuni zina mvuto zaidi...actors wao wamesomea acting au theatre arts. Sijui kwa nini hapa TZ hatuwatumii wahitimu wa theatre arts wa UDSM au hata wa chuo cha sanaa cha Bagamoyo.

    ReplyDelete
  23. Jamani wadau wenginetuache utani na matuc pliz!! Mie namkubali Irene Uwoya!

    ReplyDelete
  24. Irine mkali sana, nashauli wema umshindanishe na Rose Ndauka au Jack Pentezel. Kwa upande wa Irine umshindanishe na Rihama Ally au Aunty Ezekiel. Wema hana ubavu wa kumvaa Irine.

    ReplyDelete
  25. Hakuna mkali hapo,waende skuli kwanza,wanauza sura2

    ReplyDelete
  26. wema mkali kwenye ngono, irene kwenye uvaaji wa chachandu

    ReplyDelete
  27. Wema anauhalisihia anafit kwa kila secta mnyonge tumnyoge bali haki yake tumpe

    ReplyDelete
  28. wema yuko juu mwaya xema wa2 watamponda coz yy kazd maskendo meng ya ajab! saut co kigezo cha yy kutomanage sehem zngne! irene labda mkali wa kutoa mimacho 2 na ku2mia miguvu akiwa anact! WEMA MKAREEEEEEEEEEEEEEE!

    ReplyDelete
  29. Wema yupo juuuuuu

    ReplyDelete
  30. mtoto wa sepetu yuko juu

    ReplyDelete
  31. Wema bwana Zamaradi

    ReplyDelete
  32. Zama mrembo mkali irine bwana mama diamond haoni ndani

    ReplyDelete
  33. wema anajitaidi though irene nae anafnya vzr but kuna nafac nyngn zinamshinda,nafasi za umlaya ndo anazipatia sn sa cjui anakua anatumia na personal experience au vp,so kwa kifupi wako more o less da sme. Ni hyo tu

    ReplyDelete
  34. IRINE MKALI HILO HALINA UBISHI, ANAWEZA KUACT CHOCHOTE,KWANZA MWENYEWE TU ANAUZA. WEMA KUACT ANAJARIBU TENA AMSHUKURU KANUMBA, YEYE ANAJUA KITU KIMOJA TU, "KUAIBISHA WANAWAKE WENZIE"

    ReplyDelete
  35. Irene Uwoya anatisha zaidi.Yupo juu.

    ReplyDelete
  36. Irine ndo mkali, mama Diamond anauza sura hadi sauti anaigiza sikapendi kale kasauti kake kwani akiongea kawaida atachubuka ngozi ngozi.....

    ReplyDelete
  37. Wema Sepetu mkali zama!! (matendo yake ni yake ni maisha yake binafsi hayatuhusu)

    ReplyDelete
  38. ETI NINI? MATENDO HAYATUHUSU? ANAWAHARIBIA WENZIE HUYO WEMA, HIVI KWELI ANAVYO BADILI WANAUME ANAKUMBUKAGA HATA KUTUMIA (CD)? AU NDO NYAMA KWA NYAMA. IRINE UKO JUU HILO HALINA UBISHI. HALAFU HII NI COMPLIMENT "YOU ARE BEAUTIFUL" HUNA CHAI JABA KAMA LA FULANI

    ReplyDelete
  39. tatizo wadau mnafuatilia sana filamu za wauza sura tu.hebu itafuteni filamu ya LERATo alafu ndio mtajua ukali wa wema.wEMA SEPETU yuko juu jamani.

    ReplyDelete
  40. plz zama usirudie tena kumfananisha wema na hawo watu wako bana honest unamkosea heshima,naomb umtake radhi!WEMA HANA MPINZANI dada eeh.!vp kuhusu majibu ya script maanake mpaka tumesahau!!

    ReplyDelete
  41. wema mkali anauvaa uhalisia wa kuact na hata wa mavazi akiwa anaact.

    ReplyDelete
  42. wema yuko juu saaaaana.mtaamin mzigo ukiwa madukani wajameniukani wajameni

    ReplyDelete
  43. Wote wawili wababaishaji tu. Jibu: Hamna kali hapo.

    ReplyDelete
  44. sijaona.hakuna hatammoja.mdau hapo juu uliesema monalisa yuko juu,i support you 100%.kwa waigizaji wa wa kike monalisa yuko juu.

    ReplyDelete
  45. wote mabomu tu. ni kuwa hapa tz hakuna waigizaji. waigizaji wazuri hawapewi fursa ya ku-act. 'in the land of the blind, a one-eyed man is a king'.

    ReplyDelete
  46. iren mkali jamani acheni ubishi

    ReplyDelete
  47. hatuitaji muigizaji mwenye sauti km ya mtoto wema si chochote mbele ya irene

    ReplyDelete
  48. MRS HAMADI YUKO JUU

    ReplyDelete
  49. IRENE YUKO JUUUUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete
  50. IRENE HANA MAJOTOOOOOOOOOOOOOOO

    ReplyDelete
  51. UTAMFANANISHA KICHECHE WEMA NA IRENE WAPIIIIIIIIIIII IRENE YUKO JUUUU

    ReplyDelete
  52. WEMA MKALI WA WANAUME SIO MKALI WA MOVIES

    ReplyDelete
  53. irene makali tena sana hata wema amwageradhi hamfikii kamwe

    ReplyDelete
  54. wewe,wewe chezea uwoya wewe huta rowa!! uwoya kiboko yao akuna kama uwoya hapa tz tusidanganyane uwoya hana fit kila sehem. uwoya ni wakimataifa.

    ReplyDelete
  55. Irene yuko juu filamu zote anazocheza zinakuwa nzuri ukali upole kama filamu ya pretty girl mama krish juuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  56. wema is the best...si kwa irene tu bali kwa waigizaji wote wa kike

    ReplyDelete
  57. irene yupo juu.wema sauti yake imekaa kiunyonge unyonge,irene anaweza kuigiza sehemu tofauti tofauti.na ile filamu yao ya the diary bado haijatoka?

    ReplyDelete
  58. irine juuuuuuu wema chiniiiiiiiii

    ReplyDelete
  59. tafuta vitu vingine vya kutuwekea tafadhali LIBLOG linaboa

    ReplyDelete
  60. Nakubaliana na wote mnaosema kuwa kati ya Irene na Wema hamna mkali kwa kuwa wote si actors. Kwanza waende shule ya acting kabla hawajapambanishwa. Full stop.

    ReplyDelete
  61. Pamoja na maskendo, wema is the best...irene nae yumo japo wema zaidi

    ReplyDelete
  62. Mie hapa naona Irene yuko juu zaidi filamu zake zote nzuri anaweza kucheza kotekote upole, ukali, hata ujambazi, yeye anafiti,big up irene

    ReplyDelete
  63. Mimi naona irene yuko juu katika filamu kwa sababu filamu zote anazocheza anakubalika yaani kwenye upole yumo kwenye ukali yupo big up irene

    ReplyDelete
  64. wote wakali kwa ku2mika kingono

    ReplyDelete
  65. uwoya mkali wala hapaswi kushindanishwa na wema mnamshushia hadhi kabisa nikama tysonn matumla useme nani zaidi

    ReplyDelete
  66. weweeeee acha majotrooooooooo iren yuko juuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  67. tutataka majibu humu humu tuone kwani kunawatu wabishi kama deshi deshi iren mrs ndikumana mama krish hana mpizani mulize dinamarios atakujuzaaa

    ReplyDelete
  68. KUSEMA KWELI IREN FUNIKO WEMA HAFUI DAFU KWENTE KIAPO KAJITAHIDI SANA SO BIG UP MA SISTER......KEEP IT UP
    abbas mlilapi wa kino

    ReplyDelete
  69. irene na wema wote ni wakaree mura oira irene ni mkari zaidi

    ReplyDelete
  70. wema ni mkali zaid, nayo mengine ni maisha yake binafsi tusiyaingilie wala kumjaji

    ReplyDelete
  71. Zama,mi naona hao warembo kila mmoja ana ukali wake katika kile anachokifanya,kujua nani mkali nani hovyo hapo tutakesha na kuongopeana jamani.All of them are sweet.

    ReplyDelete
  72. Hamna mkali hapa, wote wawili totally useless.

    ReplyDelete
  73. Namkubali Irene ni mkali, anaweza kila sehemu atakayopewa

    ReplyDelete
  74. Anon wa 10:48 AM, nakubaliana na wewe, wote hawa wawili ni totally useless katika fani ya sinema.

    ReplyDelete
  75. WEMAAAAAAAAAAA.... Wema mkalii sana sema hajatulia angeconcentrate angefika mbali sanaaa

    ReplyDelete
  76. We iren unamwosha nani hayo matako yako manene yaliyoja cellulites? Ho ho ho lol

    ReplyDelete
  77. Wote hawa wawili ni bogus. Wema mkali katika kubadili mabwana na irene mkali katika kuonyesha matako yake na mapaja yake yaliyojaa cellulites kama alivyosema anon wa 6:15 PM. Sorry girls lakini msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

    ReplyDelete
  78. tujaji vip? yanii kama kakingereza au kukaa pasipo maadili labda. vyote pamoja yanii yanii labda wema. anaweza shinda kwenye kati ya hizo mbil kwani anaingia kwenye zote. yumo yumo lakini kwa picha pasipo maadili uwoya yupo. huo ni mtazamo wangu, kwani picha zetu zimebaki hapo ili pendwe ivunje maadili watu wawe wanakaa ka kinageria au kizungu mbali nautamaduni wetu. elias

    ReplyDelete
  79. wema mkali sana - tumetakiwa kutoa maoni yetu na mkali kati ya hao mabint kifilamu lakini tatizo watz baadhi yetu kazi kutafuta kasoro za watu zao kimyaaaa.

    Kama tungefunuliwa maovu yetu ki ukweli sidhani kama kuna mwenye ubavu wa kumnyooshea kidole wema

    Hebu BOLITI zilizo kwenye macho yenu ndo mtoe kibanzi kilicho kwa Wema

    ReplyDelete
  80. yan hlo halina ubishi irene is da best na ha2takiwi kuangalia tabia ya m2 coz hujaulizwa n all are non of ur business 4 dos mlioshikiria kuzungumzia tabia zao!kuweni waelewa bana!!

    ReplyDelete
  81. Irene ni mfuniko ile mbayaaaaaa!!!
    kwanza ana mvuto, pili yupo real, tatu ana ndoa,nne hakupigwa ubomba wa mimba kabla ya ndoa, tano anajiamini, sita anafit kila idara katika uhusika. Mi sioni wa kumfunika afrika ya kati na mashariki.

    ReplyDelete
  82. Kwa kweli kwangu mimi niliyempenda zaidi kwenye uigizaji ni yule dada aliyeigiza kama "Regina" huyu ndiye mkali.
    she is talented go and watch Regina film

    ReplyDelete
  83. Naitwa john kitus Also known as shaun ,nimeishi tanzania kama 12yrs na nikaenda US
    lakini bado sija hacha kuzitazama igizo ao filamu za kitanzania sababu zanivutia na za funza,kwanza ningesema hawana hela nyingi sababu wazichezea tanzania na ni ktk lugha ya kiswahili kama ingekuwa ni ktk lugha ya kingereza ingekuwa hecka cool .
    Kati yao hao wawili naweza sema Wema Sepetu anayomiaka mingi ktk uingizaji wa filamu na Irene Bbado mchanga ao si mchanga lakini bado anamiaka kazha.sasa kt yao ni nani ambaye tayari ameisha handika filamu yake na kusirikisha wengine?
    pia,ktk filamu ya Hot sunday,naweza sema dada alipatia nafasi zake kweli na naweza kuongelea wema kuhusu red valentine alipokuwa akiongea na Briton pamoja na kijakazi wao.
    pia kati yao ni nani anazungumza kingereza ao kifaransa zaidi ya mwenzake?
    kwa ufupi,ni seme wote wakali lakini bado tumpe wema nafasi japokuwa sijahona filamu zake nyingi tena ila nina uhakika kuwa baadaye tutaona vipi atakavyo kuja Da Irene kwa kuwa ni mkali pia bila kumsahahu johari.naishi state ya south Dakota,Sioux falls kama city.

    ReplyDelete
  84. Irene uwoya zaidi bwana msimlinganisha na wema,wema kazi yake kugombea mabwana tena wadogo zake kama akina diamond,kila siku mapenzi mapenzi.

    ReplyDelete
  85. wema sepetu she iz so hot wow kiukweli ni mzuri

    ReplyDelete
  86. Nawapenda wote ktk kuigiza ila zaidi ni IRENE UWOYA

    ReplyDelete