Wednesday, October 19, 2011

HII NI KWELI..!!?? lol

Hebu angalia hizo picha hapo kwa umakini sana halafu uniambie kuna ukweli wowote katika maana zilizotolewa kwenye hizo aina za ulalaji wa mtu na mpenzi wake!??

Niambie WEWE na YEYE mnahusika kwenye ipi zaidi kati ya hizo hapo juu!!?? na ukiangalia aina yenu ya ulalaji inaendana na jinsi mahusiano yenu yalivyo!!???

LET'S SHARE

10 comments:

Anonymous said...

Hii ya mwisho chini upande wa kulia ni poa sana.

Anonymous said...

Nimeichagua ya juu kabisa kulia. Mimi nikimpenda demu nalala naye uso kwa uso. Kama simpendi demu, baada ya 'action' nampa mgongo. Unfortunately huo ndio ukweli wa maisha.

Husna said...

Kwakweli mi sidhani ila kuna zingine ni kweli labda ila kwa uzoefu kwa usiku mmoja mnaweza kulala style hata tatu au nne na zote zipo hapo sasa sijui inakuwaje applicable.
Husna

Anonymous said...

man wanted to leave a woman sleeping style haina mashaka ni ukweli mtupu ndio hivyo hivyo.

Anonymous said...

old couple sleeping style naipenda zaidi kwan nafurah zaid ikilala ndani

Anonymous said...

Hiyo old couple sleeping style naona huyo jamaa anapenda tu t**o au 'mgongo'!

Anonymous said...

ahahhaaaa zamaradi mi nimefurahishwa sana na hizo styles....zote zinahusu maisha ya kila siku and all those happened!!!

marayah said...

hahaha! umenifurahisha na hizo styles lakini mimi napenda hio ya kwanza (old couple spleeping style) si unajua wasichana wengine 2napenda kudeka..lol.
na nyingine ya (sayang&usually oldman & young women sleeping style) it makes me happy

Anonymous said...

hahahahaha!!! Kidogo kma kunaukwel vile sema men kachoka sana sunaona anavyojibwaga huku kule ndo mambo ya nyt hayo

B said...

mmh hyo new and hot couple...iko kali kichizi apo couple itakuwa so deeep!