Nilimkuta Keisha salon moja hivi akijitayarisha kwa ajili ya Graduation yake ya kumaliza Form Six inayofanyika leo pale Laureate international school, hapa akiwa anatengenezwa nyusiHAIR DO - BEFORE
hapa kabla haijamaliziwa style yake ya nywele ilikuwa ikionekana hivi
Hapa weaving likishashonewa linakatwa kistyle ili kitokee kitu kizuri
Mambo ya Sandra hayo kama unavyomuona.. Busy mwenyewe akimuweka sawa mdadaHAIR DO - AFTER
Hapa ndio mambo yamemalizika kwa nyuma inaonekana hivyo
Kwambele ndio kama unavyoiona
























Habari yako bwana..!!!!!













